Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ethiopia wazindua treni ya kisasa mjini Addis Ababa

Huduma ya treni ya kisasa imezinduliwa rasmi September 21 jijini Addis Ababa, Ethiopia. Mradi huo mkubwa uliogharimu dola za kimarekani milioni 470 ulifadhiliwa na China Exim. Siku ya Jumapili ilikuwa nzuri kwa wakazi wa Addis Ababa kwani walipata usafiri wa bure wakati wa uzinduzi wa treni hiyo ya kisasa. Treni hiyo itakuwa ikibeba watu 15,000 […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa,Ethiopia

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipitia moja ya taarifa wakati akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa,Ethiopia leo.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe.

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa nane wa Mawaziri wa Fedha, Uchumi na Mipango waendelea leo Jjiini Addis Ababa —Ethiopia

Mh.Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Harrison Mwakyembe akihutubia wajumbe wa Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Fedha,Uchumi na Mipango unaofanyika Mjini Addis Ababa –Ethiopia. Naibu Katibu Mkuu –Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Nd. Armantius C.Msole (kushoto) pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dr.Hamisi Mwinyimvua wakifuatilia hotuba ya Mh.Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr.Harrison Mwakyembe (Hayupo pichani) katika Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. TEDROS ADHENOM, WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA ETHIOPIA ATEMBELEA KAMBI YA WANARIADHA WA TANZANIA ADDIS ABABA

Mhe. Dr. Tedros Adhenom, wa tatu kutoka kulia akiwa na wanaridha wa Watanzania wa mbio ndefu waliotia kambi mjini Addis Ababa. Wa pili kulia ni Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, wa Kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia, Mhe. Balozi Solomon. Na wengine wailiokaa ni Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Michezo ya Ethiopia. Mhe. Dr. Tedros aliwaasa wanariadha hao na kuwataka wafanye vizuri katika mashindano ya Madola yatakayofanyika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa kamati ya watalaam wa fedha, uchumi na mipango wa nchi wanachama AU na ECA waanza Addis Ababa — Ethiopia

DSC_0049

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Hamis H. Mwinyimvua (Kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mh.Naimi Azizi wakiwaa kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Watalaamu wa masuala ya Fedha Afrika unaofanyika Mjini Addis Ababa – Ethiopia.

DSC_4687

Baadhi ya wajumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 8 wa Watalaam wa masuala ya Fedha – Afrika wakijadili jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ‘United Conference Centre’ Addis Ababa. Kulia ni Nd.Mbayani Saruni na Kushoto ni...

 

11 years ago

Michuzi

THE AFROMUN YOUTH CONFERRENCE IN ADDIS ABABA ETHIOPIA GIVING AFRICAN YOUTH AN EYE OPENER

20140306_152406Joseph Muya captured  with the acting African Development Bank Vice President on the subject of green energy and development in Africa. 20140306_161117Joseph Muya, Alvin Wanyama, pose with Dr, Raymonde Aggousus, the head of HR and Youth Division after candid discussions in her office about the challenges unique to the African Youth and the opportunities that the AU has for the African youth, on her left is Sia Marupa, the TUNZA regional Ambassador. 20140306_161131Glory Blasio and Joseph Muya poses for a light moment in...

 

10 years ago

Michuzi

HISTORIA YAANDIKWA MJINI ADDIS ABABA- WHEN PRINCE OF SWAHILI BLUES MET THE LEGENDARY KING OF ETHIO JAZZ

 Hannival akipapasa zeze la Kihabeshi Timu kamili ya Ethio-Swahili  Fusion wakishambulia Juma Setumbi akipongezwa na mkongwe Dr Mulatu
Shabiki kutoka Brazil akimpongeza Dr Mulatu Leo Mkanyia akimkaribisha rasmi King of Ethio Jazz Dr Mulatu Dr Mulatu na Leo wakishambulia jukwaa Wadada wa Kihabeshi wakitwanga Swahili Blues kihabeshi habeshi
Dr Mulatu na Leo wakishambulia jukwaaMkongwe Dr Mulatu akimtoa kamasi Leo

Siku ya Jumamosi ya tarehe 4 April 2015 mjini Addis Ababa, historia iliandikwa pale...

 

9 years ago

Michuzi

VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015

Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko  wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar...

 

10 years ago

Vijimambo

STARS YAJIFUA ADDIS ABABA

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa katika mazoezi kwenye Uwanja wa  Addis Ababa uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaofanyika Juni 14, jijini Alexandria. (Picha kwa hisani ya TFF)


Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa  Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaopigwa Juni 14,...

 

9 years ago

BBC

VIDEO: All aboard the Addis Ababa tram

What lessons can other African cities learn from Ethiopia's state-of-the-art tram system?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani