Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kama umepanga kusafiri sikukuu, nina picha 20 na kinachoendela stendi ya Ubungo

Ikiwa tuanelekea mwishoni mwa mwaka 2015, kuna mengi yanakuwa yakiendelea katika msimu huu ambapo pia baadhi ya watu hupendelea kwenda makwao kwaajili ya kuwasabahi ndugu na jamaa. Lakini hali imekuwa tofauti kidogo leo Dec 23 2015 katika kituo cha mabasi Ubungo Terminal Dar es salaam mara baada ya baadhi ya abiria kukwama kusafiri kutokana na kukosa […]

The post Kama umepanga kusafiri sikukuu, nina picha 20 na kinachoendela stendi ya Ubungo appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MGOMO WA MABASI STENDI YA UBUNGO

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba katika stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam kuna mgomo wa madereva waendeshayo mabasi yaendayo mikoani. Mgomo huo umeanza leo kama ambavyo muungano wa madereva wa vyombo vya usafiri waliahidi wakidai kutotatuliwa kero zao na serikali. Taarifa zaidi pamoja na picha vitawajia hivi punde.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wafanyabiashara ondoeni vibanda stendi ya Ubungo’

WAFANYABIASHARA wenye vibanda vya kukatia tiketi katika stendi ya Ubungo, ambako mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART) unaendelea, wametakiwa kuviondoa ili kupisha ujenzi wa mradi huo. Katibu Mkuu Ofisi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Stendi mpya ya Ubungo yaanza kutumika

MAMLAKA YA Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imesema Kituo cha Ubungo kilichoko Mawasiliano Towers kitaanza kutumika rasmi kuanzia leo baada ya kukamilika kwa ujenzi wa lami, choo, Kituo cha Polisi, taa pamoja na vibao vinavyoonesha eneo basi linapokwenda.

 

9 years ago

Michuzi

ABILIA WAKIWA STENDI KUU YA MABASI YA KWENDA MIKOANI (UBUNGO)

Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam wakisubilia usafili wa kuelekea Mikoa mbalimbali, leo.
Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, wakiimalisha usalama wa malizao, leo.Abilia wakiwa wamejipumzisha chini ya mti katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam leo.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii.

 

10 years ago

Michuzi

mambo yazidi kunoga stendi ndogo ya mabasi Ubungo jijini Dar

Wafanyabiashara ndogondogo (MACHINGA), wakiendelea kufanya biashara zao kama walivyokutwa na mpiga picha wetu kwenye kituo cha daladala ubungo na pembezoni mwa barabara jijini ya Morogoro jijini Dar es Salaam, hivyo kusababisha kero kwa watumiaji wa barabara hiyo,eneo hilo lilipigwa marufuku kwa shughuli za aina yoyote na Mansipaa ya Kinondoni lakini jamaa kama wamekaidi amri ile halali kabisa.Picha na Philemon Solomon,Globu ya Jamii.

 

5 years ago

CCM Blog

MAGARI YA WASHAWASHA, FIRE YATUMIKA KUNYUNYUZIA DAWA STENDI YA MABASI UBUNGO

   Zoezi la kunyunyizia dawa ya kuua vijidudu katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi Jiji la Dar es salaam limeendelea usiku wakuamkia leo katika standi kuu ya mabasi ya Ubungo na mitaa yake ikiwa ni moja ya jitihada za Serikali kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo ni tishio kwa dunia kwa sasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Nina miaka 20 ninatembelea tumbo kama nyoka

Waswahili husema, hujafa, hujaumbika! Ukweli wa usemi huu unapatikana katika maisha ya kijana mwenye umri wa miaka 20, ambaye ukimwona utadhani mtoto wa miaka minne.

 

10 years ago

GPL

AUNT: MUME WANGU HAJUI KAMA NINA MIMBA

Stori:Musa mateja
Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amefunguka kuwa, licha ya ujauzito wake kuwa mkubwa, mume wake Sunday Demonte hana taarifa yoyote juu ya kitumbo hicho.Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Aunt alisema maneno hayo yanaweza kuwashangaza watu lakini ndiyo ukweli wenyewe. Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’. Alidai kuwa yeye na mume wake huyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Nimeamka Nimejikuta Nina Mabadiliko Mwilini-Nisha

Staa wa bongo Movies mwenye visa na vituko vyakufurahisha, Salma Jabu ‘Nisha’ amabaye kwa sasa anatamba sokoni na MTAA kwa MTAA  amewaaacha hoi mashabiki wake baada yakutupia picha hii mtandaoni na kuandika “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”.

Picha hii imekuwa ikisambaa kwa kasi zaidi mtandaoni  huku kila mtu akiichombeza kwa maneno yake ukizingatia siku za hivi karibuni kuna baadhi ya mastaa wa kiume wa hapa Bongo wamekuwa wakipiga picha za namna hiyo na kuzua  ‘stories’...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani