AUNT: MUME WANGU HAJUI KAMA NINA MIMBA
![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCySyT8dqyLO*rJQgeMCtJJ5gdJNzmdzflTBLPBua-6VGJdNw6YfRCwBSHSlJop7KBNFUEQfcuAx-YtDgfqUpGav/Aunt.jpg?width=650)
Stori:Musa mateja Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amefunguka kuwa, licha ya ujauzito wake kuwa mkubwa, mume wake Sunday Demonte hana taarifa yoyote juu ya kitumbo hicho.Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Aunt alisema maneno hayo yanaweza kuwashangaza watu lakini ndiyo ukweli wenyewe. Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’. Alidai kuwa yeye na mume wake huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W37KrGCk0RUhdeihIkIrqnzaPGAJXKMenhD9ULCsTu9f8elHZQrB5-VRi0-o5ykb3SJ78FIWALVRptuSMnlIYW*/kajuaje.jpg)
MUME WANGU AMEMPA MIMBA MBWA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Aunt Ezekiel: Nina haki ya kuhama chama
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amedai kutishiwa amani baada ya kufanya maamuzi yake kisiasa ambapo amehamisha ushabiki wake kutoka chama kimoja na kwenda chama kingine.
Licha ya mrembo huyo kudai kupokea vitisho mbalimbali, pia alidai amehama chama hicho na kujiunga na kingine
kutokana na kukubali sera za chama hicho.
“Sera za chama nilichohamia zimenivutia na wala sikulazimishwa na mtu wala sijapokea fedha wala gari kuhamia
huko kama inavyosemekana, bali nafsi na mapenzi...
10 years ago
Habarileo18 Dec
Mkono: Nina hofu na usalama wangu
MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM) amesema maisha yake yako hatarini, kutokana na kuwepo genge la watu ambalo amedai wana nia mbaya na yeye, hivyo ameomba jeshi la Polisi kuchunguza watu hao.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp20yuC9-AHiIbAzNOh5Kx6SasA*LUMNoc*zFos2I-sZGppWlORJBiU32eLztQoOW-V*Z08WvdO0Mo7y-1ADsn*i3/nisha.jpg)
NISHA: MH! ETI NINA MIMBA, WATU BWANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LtxB0pVU7o6qtMGaW0NpHuzxN9ZmfHecLtIUT6pmcVGX4DkyvsQHQ3ayfYDez3yt7XkZnVNzMVRhGc7lWSJjiEx/Aunt.jpg)
MIMBA YA AUNT EZEKIELIMEZUA BALAA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsYVKE-pbjYpfpoCNaG*O1l9z3tn1mntS1Txv-tnxN2KmPYlBWTN6hcSDw71SNpEnZ1wQE0qPKoambBmlmlfpoUuDDFL*Yl8/BACKJUMATANO.jpg?width=650)
DOKTA AONYA MIMBA YA AUNT!
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRTgBwuFfyuAuJnc6PwuTbY7fCtyoJ2sPPJdvIouhEa9aBRQKyBs6ObNGMiA1SL9pWUQrPAKH5veLvQ40RmSUPJ/BACK.jpg)
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL