Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOKTA AONYA MIMBA YA AUNT!

Stori: Gladness Mallya na Musa Mateja TABIA za mitoko ya usiku matembezini, uvaaji viatu virefu na unywaji pombe unaofanywa na wamama wajawazito, kama alivyo sasa muigizaji Aunt Ezekiel, zimeelezewa kuwa si nzuri na zina uwezekano mkubwa wa kusababisha madhara kwa mtoto anayetarajiwa kuzaliwa. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza baada ya kuulizwa na gazeti hili juu ya mwenendo wa muigizaji Aunt...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DOKTA AMZUIA AUNT KUJIFUNGUA MAREKANI

IMELDA MTEMA DOKTA amempiga stop staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kwenda kujifungulia nchini Marekani kwa sababu hali yake ya ujauzito aliyofikia haruhusiwi kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga kwenda popote. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Chanzo makini kilisema kuwa, Aunt alijiwekea mpango wa kwenda kujifungulia nchini huko kwa muda mrefu lakini alikuwa akisubiri mimba ikue kidogo kitendo ambacho hakikutakiwa kwa kuwa...

 

11 years ago

GPL

HEEE! DOKTA AKUTWA AKIJARIBU KUMCHOROPOA MIMBA DENTI

Stori: Waandishi wetu KABAANG! Dokta mmoja aliyefahamika kwa jina la Herman amenaswa katika dispensari moja iliyopo Buguruni Kwamnyamani jijini Dar akijiandaa kumtoa mimba mwanafunzi. Dokta Herman akitahayali baada ya tukio hilo. Awali, kikosi kazi cha kufichua maovu cha Global Publishers (OFM), kilipewa malalamiko juu ya dispensari hiyo kuwa ni kinara wa mchezo huo mchafu wa kuwatoa mimba mabinti wadogo hususan wanafunzi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rose Ndauka aonya wanaotoa mimba

MWANADADA anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini, Rose Ndauka, amewaonya wasanii wa kike kuacha tabia ya utoaji mimba kwani ni kinyume cha maadili na ni kujidhalilisha. Akizungumza jijini Dar...

 

10 years ago

Mtanzania

Mimba yamchosha Aunt Ezekiel

auntez ekiel4NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...

 

10 years ago

GPL

MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL

Stori:Imelda Mtema na Musa Mateja
MAMBO si mambo! Tayari mimba ya muigizaji Aunt Ezekiel imeanza kumtibua baada ya nyota huyo kushindwa kufanya baadhi ya kazi ambazo alikuwa akizifanya mwenyewe. Mose Iyobo akimsaidia kuvaa kiatu muigizaji maarufu Bongo, Aunt Ezekiel. Kwa mujibu wa chanzo chetu, kutokana na tumbo kuwa kubwa, Aunt kwa sasa hawezi kufunga viatu vyake, kufua, kuosha vyombo na hata akitaka kwenda toileti inabidi...

 

10 years ago

GPL

MIMBA YA AUNT EZEKIELIMEZUA BALAA!

Stori: Waandishi Wetu
SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwa mjamzito, mimba ya mwigizaji Aunt Ezekiel imezua balaa baada ya mwanamke anayedaiwa kuibiwa bwana na mwigizaji huyo anayefahamika kwa jina la Mwengi kuibuka na kufunguka mazito. Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyobo ‘Moze’. Mwengi ambaye yupo ndani ya bifu zito na mwigizaji huyo, alizaa na dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mose Iyobo...

 

10 years ago

GPL

AUNT: MIMBA YANGU SIYO YA WAZIRI!

Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amevunja ukimya na kupinga vikali tetesi za ujauzito wake kuhusishwa na mmoja wa mawaziri wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibainisha kuwa jambo hilo linautesa moyo wake. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni jijini Dar, Aunt alifunguka kwamba, mbali na kumzushia juu ya ujauzito huo, kuwa mara ya kwanza watu asiowajua walieneza...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AFUNGUKIA MIMBA YA AUNT EZEKIEL

Mwandishi Wetu Hatimaye Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini kwa leseni ya CCM, Lazaro Samwel Nyalandu na mkewe Faraja Kotta wamejibu tetesi kuwa mheshimiwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson. Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini kwa leseni ya CCM, Lazaro Samwel Nyalandu akiwa na mkewe Faraja Kotta. Awali tetesi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Alia Mimba Kumkosesha 'Madili'

Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.

Akizungumza na gazeti la Mtanzania jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.

“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue, kwani sipati tena...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani