AUNT: MIMBA YANGU SIYO YA WAZIRI!
![](http://api.ning.com:80/files/IR6j1-Mhm*Wu0GwRQP8auE*wh46peByASuppln4wbU4FKZLrR5eT6BogbmO9JRBWuDlBcRkvumhPAFZQ5bizaqtzl93zgoIV/4copy.jpg?width=650)
Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amevunja ukimya na kupinga vikali tetesi za ujauzito wake kuhusishwa na mmoja wa mawaziri wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibainisha kuwa jambo hilo linautesa moyo wake. Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni jijini Dar, Aunt alifunguka kwamba, mbali na kumzushia juu ya ujauzito huo, kuwa mara ya kwanza watu asiowajua walieneza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM13 Feb
Nyalandu: mimba ya Aunty Ezekiel siyo yangu
Waziri wa maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu amefunguka kuhusiana na taarifa zilizoenea kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu za Kibongo,Aunty Ezekiel na kwamba ujauzito alionao msanii huyo ni wa kwake.
Mh.Nyalandu amekanusha habari hizo kupitia kupindi cha leo tena cha Clouds Fm wakati alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa kipindi hicho Husna Abdul ambapo pia alikuwa ameambatana na mkewe Faraja Kota.
Aidha alisema kuwa habari hizo zilitolewa na gazeti moja la hapa nchini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68xa7NqpzzajpJsLH5ksHUfrlaH0aATNE09AgPuOVRhJTd3JT9pXNPUTW3a2P0rHAqm63ott4DbNIYRdmyqJDhQ2/Untitled5.jpg?width=650)
WAZIRI NYALANDU AFUNGUKIA MIMBA YA AUNT EZEKIEL
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRTgBwuFfyuAuJnc6PwuTbY7fCtyoJ2sPPJdvIouhEa9aBRQKyBs6ObNGMiA1SL9pWUQrPAKH5veLvQ40RmSUPJ/BACK.jpg)
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsYVKE-pbjYpfpoCNaG*O1l9z3tn1mntS1Txv-tnxN2KmPYlBWTN6hcSDw71SNpEnZ1wQE0qPKoambBmlmlfpoUuDDFL*Yl8/BACKJUMATANO.jpg?width=650)
DOKTA AONYA MIMBA YA AUNT!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LtxB0pVU7o6qtMGaW0NpHuzxN9ZmfHecLtIUT6pmcVGX4DkyvsQHQ3ayfYDez3yt7XkZnVNzMVRhGc7lWSJjiEx/Aunt.jpg)
MIMBA YA AUNT EZEKIELIMEZUA BALAA!
9 years ago
Bongo Movies09 Sep
Aunt ezekiel: Nimezaliwa Kisarawe, Siyo CCM
STAA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ amewajia juu wanaomsema kuwa amekikacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukimbilia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa hajazaliwa na chama hicho bali amezaliwa Kisarawe.
Akiendelea kucharuka mbele ya Amani, Aunt alisema kuwa hata kama huko alipo wakishindwa atakubali matokeo kwa kuwa lazima katika mchezo kuna upande utashinda na mwingine utashindwa hivyo atakubali yote.
“Ninachojua mwisho wa siku lazima kuna mshindi na mshindwa...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Sitta: Sugu siyo saizi yangu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OmzXdzxeBqwQhbJ-0FPVvKtIsslbeozqJz-v0dTsIjLniVin6fEyaUXVGhGuYDYdE4Jm3aZv0gUJ*43apA*FHfe1qSNpOvvO/babadiamond.jpg?width=650)
BABA: DIAMOND SIYO RIZIKI YANGU