BABA: DIAMOND SIYO RIZIKI YANGU

Stori: Gladness Mallya BABA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa amefunguka kuwa mwanaye huyo siyo riziki yake kwani hana dalili zozote za kumjali kama mzazi. Nasibu Abdul ‘Diamond’. Akistorisha na gazeti hili, mzee huyo alisema kwa sasa hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu alishamtumia ujumbe kwamba anatakiwa kubaki kama baba tu na si vinginevyo.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Dec
Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.
FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.
“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.
“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.
“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...
11 years ago
Mwananchi21 Oct
Sitta: Sugu siyo saizi yangu
10 years ago
GPL
AUNT: MIMBA YANGU SIYO YA WAZIRI!
10 years ago
CloudsFM13 Feb
Nyalandu: mimba ya Aunty Ezekiel siyo yangu
Waziri wa maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu amefunguka kuhusiana na taarifa zilizoenea kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu za Kibongo,Aunty Ezekiel na kwamba ujauzito alionao msanii huyo ni wa kwake.
Mh.Nyalandu amekanusha habari hizo kupitia kupindi cha leo tena cha Clouds Fm wakati alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa kipindi hicho Husna Abdul ambapo pia alikuwa ameambatana na mkewe Faraja Kota.
Aidha alisema kuwa habari hizo zilitolewa na gazeti moja la hapa nchini...
10 years ago
Bongo Movies12 Feb
Lulu: Baba Yangu ni Handsome!!
Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo na mwigizaji wa filamu anaewavutia wengi kwa uzuri na kipaji chake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebandika picha akiwa amebebwa na Baba yake ‘Mzee Michael’ kipindi akiwa mtoto na kuiandikia maneno kuwa yupo na baba yake mtanashati ambae amezaa chema na kujinasibu kuwa wanafanana.
"Enjoy na Throwback, Sina cha maana wala Jipya la ku post..! My handsome daddy...
10 years ago
Bongo517 Aug
Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Dully: Walioshindwa kumzika baba yangu wamenihuzunisha
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa na kitendo cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake mzazi, Ebby Sykes juzi jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini juzi mara baada ya kumalizika kwa mazishi ya baba yake, msanii huyo alisema ameshangaa jinsi gani wasanii wengi wamekuwa na roho za chuki.
Alisema matarajio yake yalikuwa kuwaona wenzake wakiungana naye katika wakati huo mgumu, lakini ni wachache sana walioonyesha moyo...
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Kigoda: Sigombei ubunge kumrithi baba yangu