Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)
Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.
FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.
“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.
“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.
“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Oct
Linex: Mimi sijawahi kua mvuta bangi maisha yangu yote na kama ninavuta Mungu ananiona
10 years ago
Bongo515 Jan
New Video: Mwana FA Ft Ali Kiba — Kiboko Yangu
10 years ago
Bongo506 May
Mike Tee ndiye aliyeandika script ya video ya ‘Kiboko Yangu’ ya Mwana FA
10 years ago
Bongo522 Oct
New Music: Mwana FA f/ Alikiba — Kiboko Yangu
10 years ago
Jamtz.Com10 years ago
Bongo503 Sep
Collabo ya Mwana FA na Alikiba ‘Kiboko Yangu’ yanukia
10 years ago
Michuzi22 Oct
10 years ago
Bongo Movies15 Jun
Wema: Yangu ya Pili na Van Vicker Hapa Bongo,Yote Itakuwa ya Kiingereza
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema filamu ya pili atakayofanya na muigizaji kutoka Ghana, Van Vicker itakuwa ya Kiingereza pia.
Wema ameiambia Bongo5 kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuifanya filamu hiyo iwe ya kimataifa zaidi.
“Atakuja atakaa kama for three weeks, tutafanya audition, kwasababu tunataka kufanya movie ambayo itakuwa ni straight English. Tutaweka subtitles za Kiswahili lakini tutakuwa tunaongea lugha ya Kiingereza,” alisema Wema.
“Lengo ni kuwa international, kutoka...
10 years ago
Bongo Movies12 Feb
Lulu: Baba Yangu ni Handsome!!
Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo na mwigizaji wa filamu anaewavutia wengi kwa uzuri na kipaji chake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebandika picha akiwa amebebwa na Baba yake ‘Mzee Michael’ kipindi akiwa mtoto na kuiandikia maneno kuwa yupo na baba yake mtanashati ambae amezaa chema na kujinasibu kuwa wanafanana.
"Enjoy na Throwback, Sina cha maana wala Jipya la ku post..! My handsome daddy...