MIMBA YA AUNT EZEKIELIMEZUA BALAA!
![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LtxB0pVU7o6qtMGaW0NpHuzxN9ZmfHecLtIUT6pmcVGX4DkyvsQHQ3ayfYDez3yt7XkZnVNzMVRhGc7lWSJjiEx/Aunt.jpg)
Stori: Waandishi Wetu SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwa mjamzito, mimba ya mwigizaji Aunt Ezekiel imezua balaa baada ya mwanamke anayedaiwa kuibiwa bwana na mwigizaji huyo anayefahamika kwa jina la Mwengi kuibuka na kufunguka mazito. Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyobo ‘Moze’. Mwengi ambaye yupo ndani ya bifu zito na mwigizaji huyo, alizaa na dansa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mose Iyobo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies23 Nov
Mimba ya Jokate Yazua Balaa
Kwani kimenuka? Siku chache baada ya kubumburuka kwa habari ya kunasa mimba ikimhusisha ‘mtoto mzuri’ Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ huku mhusika mkuu akitajwa kuwa ni msanii nguli wa Bongo Fleva, Ali Kiba, ishu hiyo imezua balaa kufuatia familia ya mrembo huyo kushtushwa na hali hiyo, Ijumaa Wikienda limenyetishiwa.
TWENDE OYSTERBAY
Mwishoni kwa wiki iliyopita, ‘kijumbe’ wa gazeti hili alitua getini nyumbani kwa akina Jokate, Oysterbay jijini Dar kwa lengo la kutaka kujua nini kinaendelea...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsYVKE-pbjYpfpoCNaG*O1l9z3tn1mntS1Txv-tnxN2KmPYlBWTN6hcSDw71SNpEnZ1wQE0qPKoambBmlmlfpoUuDDFL*Yl8/BACKJUMATANO.jpg?width=650)
DOKTA AONYA MIMBA YA AUNT!
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRTgBwuFfyuAuJnc6PwuTbY7fCtyoJ2sPPJdvIouhEa9aBRQKyBs6ObNGMiA1SL9pWUQrPAKH5veLvQ40RmSUPJ/BACK.jpg)
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IR6j1-Mhm*Wu0GwRQP8auE*wh46peByASuppln4wbU4FKZLrR5eT6BogbmO9JRBWuDlBcRkvumhPAFZQ5bizaqtzl93zgoIV/4copy.jpg?width=650)
AUNT: MIMBA YANGU SIYO YA WAZIRI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68xa7NqpzzajpJsLH5ksHUfrlaH0aATNE09AgPuOVRhJTd3JT9pXNPUTW3a2P0rHAqm63ott4DbNIYRdmyqJDhQ2/Untitled5.jpg?width=650)
WAZIRI NYALANDU AFUNGUKIA MIMBA YA AUNT EZEKIEL
10 years ago
Bongo Movies05 Dec
AUNT EZEKIEL: Chagueni wenyewe ni KITAMBI AU MIMBA!!!!
Japokuwa hadi sasa Muigizaji Aunt Ezekiel Grayson anakanusha kuwa hana ujauzito, stori zake za kuwa na ujauzito zimezidi kuenea kwa kasi zaidi kwenye mitando ya kijamii na blogs mbalimbali za hapa BONGO.
Hii nikutokana na kuonekaana kwenye Klabu ya New Maisha iliyopo Masaki jijini Dar, Jumapili iliyopita akiwa ameshiba yaani kitumbo ndi huku akishindwa kukificha baada ya kila kitu kuonekana waziwazi kwa macho yasiyohitaki miwani.
KIGAUNI CHAANIKA KILA...
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Aunt Ezekiel Alia Mimba Kumkosesha 'Madili'
Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na gazeti la Mtanzania jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue, kwani sipati tena...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zYbOSlfPdB0h4pzstbEXvqdtZhu4lIAIVf3chNKToajRXniGmxvSIRVYz13eMF3LqdWJI8Dt5VQet4NtZ*tkKgj/FRONTIJUMAA.gif)
MADAI MAZITO: AUNT ANASA MIMBA NJE YA NDOA