Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADAI MAZITO: AUNT ANASA MIMBA NJE YA NDOA

Stori: waandishi wetu
Madai mazito! Pamoja na kutumia nguvu kubwa kukanusha kwa miezi kadhaa, bado staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, anaendelea kugandwa na madai kwamba, amenasa mimba nje ya ndoa, Ijumaa lina mkanda kamili. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa viwanja na shosti yake, Wema Sepetu.
Habari hizo zilishika kasi mithili ya moto wa kifuu baada ya Aunt kunaswa Klabu ya New Maisha iliyopo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MADAI YA MIMBA NJE YA NDOA, AUNT EZEKIEL AITWA BAKWATA

Na Nyemo Chilongani
MADAI! Huku zikiwa zimepita siku chache tangu igundulike kwamba muigizaji, Aunt Ezekiel kuwa na mimba ambayo inasadikiwa kuwa si ya mume wake (Sunday Demonte), ndugu wa mume huyo wameibuka na kutaka kumfikisha Bakwata (Baraza Kuu la Waislamu Tanzania). Muigizaji wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel (kulia) akiwa na shosti yake Wema Sepetu. Ndugu hao ambao walizungumza na gazeti hili walidai kwamba wamesikitishwa...

 

10 years ago

GPL

MADAI MAZITO: ROSE MUHANDO ATUNDIKWA MIMBA

STORI: Mwandishi Wetu
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a.k.a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi limenyetishiwa. Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando wakati akifanya yake. Mapema wiki hii, chanzo kimoja kilipiga simu katika chumba chetu cha habari na kusimulia kuhusu habari hiyo, kwamba, Rose...

 

10 years ago

GPL

AUNT:NI KWELI NIMEZAA NJE YA NDOA!

Makubwa! Aunt Ezekiel ameweka wazi kinachotafsirika kuwa ni kuzaa nje ya ndoa huku akishikilia alichokiita ‘hayo ni mambo yake binafsi’, Ijumaa Wikienda liligaragazana naye kwa maswali. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1SWLeog

 

10 years ago

GPL

AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA

Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha  kwa majadala mawili,  AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

 

10 years ago

GPL

WELLU ANASA MIMBA TENA!

Msanii wa filamu Bongo, Wellu Sengo, ‘Matilda’. Stori: Waandishi Wetu
IMEVUJA! Msanii wa filamu Bongo, Wellu Sengo, ‘Matilda’, licha ya kuwa na mtoto mdogo ambaye hajafikisha hata mwaka, inadaiwa tayari amenasa ujauzito mwingine.Chanzo makini kinaeleza kuwa ujauzito huo ni wa mmoja wa wasanii wenye majina maarufu hapa nchini, ambao wamekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu sasa. Katika mawasiliano kwa...

 

11 years ago

GPL

MADAI MAZITO...MAINDA MJAMZITO

Stori: Shakoor Jongo Kama ni kweli hii ni habari njema! Siku chache baada ya kuliambia gazeti ndugu la hili, Amani kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa chango hivyo inambidi azae, super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kuwa mjamzito, Ijumaa Wikienda limechimba kila ‘engo’. Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. MUONEKANO
Habari zilieleza kwamba...

 

9 years ago

GPL

MADAI MAZITO; KAJALA AMHARIBU MWANAYE!

Brighton Masalu MSALA! Kuna madai mazito yanayosema kuwa nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja ambaye alizaa na ‘prodyuza’ mkali wa muziki wa kizazi kipya, Paul Matthyssen ‘P Funk’ anamharibu mtoto wao anayefahamika kwa jina la Paula. Nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja. Chanzo ambacho pia ni rafiki wa karibu wa familia ya bosi huyo wa Bongo Records, kinasema wazazi hao hivi sasa wako katika mvutano mkubwa kutokana na...

 

11 years ago

GPL

MADAI MAZITO MAMA AMUUA MTOTO

Stori: Kulwa Mwaibale WAKATI wanaharakati wanaendelea kupiga kelele kuhusu kushamiri kwa vitendo vya unyanyasaji kwa watoto duniani kote,  mwanamke aliyetajwa kwa jina la Amina Hamis, mkazi wa Kata ya Kwembe, Malamba Mawili Kitongoji cha Mpakani, Kinondoni jijini Dar ametiwa mbaroni  kwa madai ya kumuua kwa kipigo mtoto Munili Omar (6). Kaka wa marehemu (Munili Omary), Omary akiwa kwenye msiba wa mdogo wake. Tukio hilo...

 

10 years ago

GPL

MADAI MAZITO: UTAJIRI WA ZARI MAGUMASHI

Mwandishi Wetu
NI madai ya chini kwa chini kutoka vyanzo vilivyo karibu na mwanamuziki nyota nchini Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’ ambaye kwa sasa ameshikamana kimapenzi na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwamba, utajiri anaoutangaza kuwa nao siyo kweli! Mwanamuziki nyota nchini Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’. Madai hayo yalilishangaza Risasi Jumamosi kiasi cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani