MADAI MAZITO: UTAJIRI WA ZARI MAGUMASHI
![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3LMHhNcLVJQ8kg1xLn*TPI0HBF7JQul6CXJwhvZYTZFJmtOLypxFebGDbErD5Occ2r-EC588aQ8kc33x4t0MaJV/RisasiJumamosifrontpdf.jpg)
Mwandishi Wetu NI madai ya chini kwa chini kutoka vyanzo vilivyo karibu na mwanamuziki nyota nchini Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’ ambaye kwa sasa ameshikamana kimapenzi na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwamba, utajiri anaoutangaza kuwa nao siyo kweli! Mwanamuziki nyota nchini Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’. Madai hayo yalilishangaza Risasi Jumamosi kiasi cha...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovCKQtfaKKE6Oln2-oMeNFW7xygv4wJgC-U02*-K1o*ZLTP*WT*Gu1LQqGxpyU763r3uqSgHnBhQNZeff8I7k5Nn/mainda.jpg?width=650)
MADAI MAZITO...MAINDA MJAMZITO
Stori: Shakoor Jongo Kama ni kweli hii ni habari njema! Siku chache baada ya kuliambia gazeti ndugu la hili, Amani kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa chango hivyo inambidi azae, super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kuwa mjamzito, Ijumaa Wikienda limechimba kila ‘engo’. Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. MUONEKANO
Habari zilieleza kwamba...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx9B74-zwzbZkbxc1aWpX3Daduttt-2pDrym1Di7LE2mwZ2Lcx-MHlDYMTQv6no1n7s0MAN0kLXgTFK7-q8jMPMh/yyakukojoa.jpg)
MADAI MAZITO MAMA AMUUA MTOTO
Stori: Kulwa Mwaibale WAKATI wanaharakati wanaendelea kupiga kelele kuhusu kushamiri kwa vitendo vya unyanyasaji kwa watoto duniani kote, mwanamke aliyetajwa kwa jina la Amina Hamis, mkazi wa Kata ya Kwembe, Malamba Mawili Kitongoji cha Mpakani, Kinondoni jijini Dar ametiwa mbaroni kwa madai ya kumuua kwa kipigo mtoto Munili Omar (6). Kaka wa marehemu (Munili Omary), Omary akiwa kwenye msiba wa mdogo wake. Tukio hilo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IDSxpu6BW22XiO7sOnkN793mQLrJ4eFrsAtChFUDVfuao*hmUL-Tb1C12Rb03TNjGyXZDO9Eliix*Tq1zhleuYz8FJlj17C-/kajala.jpg)
MADAI MAZITO; KAJALA AMHARIBU MWANAYE!
Brighton Masalu MSALA! Kuna madai mazito yanayosema kuwa nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja ambaye alizaa na ‘prodyuza’ mkali wa muziki wa kizazi kipya, Paul Matthyssen ‘P Funk’ anamharibu mtoto wao anayefahamika kwa jina la Paula. Nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja. Chanzo ambacho pia ni rafiki wa karibu wa familia ya bosi huyo wa Bongo Records, kinasema wazazi hao hivi sasa wako katika mvutano mkubwa kutokana na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXZ4aShKMnvkMWURBjPySOO313EFl48Y8eGbuHZnj9YSMH-5u5ZfgUYXPDPyQ5F5HYk4Rxk47faj3uCbzJn3Sgsu/BACKAMANI.jpg)
MADAI MAZITO: MCHUNGAJI ATOROSHA MKE WA MTU!
Na Mwandishi Wetu
MCHUNGAJI anayejiita nabii na mtume, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) aliyetajwa kwa jina moja la Emmanuel amejikuta ndani ya majanga kufuatia madai mazito kwamba amemtorosha mke wa mtu ambaye ni mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa kasi, Janet Mrema. Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa kasi, Janet Mrema anayedaiwa kutoroshwa na mchungaji huyo. Kwa mujibu wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe6N--e*QBbg1rwpNCeapG9ZTTX7v2rAg7Wy*bScmL1PbYO--R4kbrWFImGhZZSVEJdc0nCTSobR29nc*Ze1-UDz/10.jpg)
MADAI MAZITO ROSE NDAUKA, RICHIE WARUDIANA
Staa wa sinema Bongo, Rose Ndauka akifurahia jambo. Na Waandishi Wetu
MASTAA wa sinema waliowahi kuwa wapenzi enzi hizo, Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie’ wanadaiwa kurudiana na hivi sasa ni mapenzi motomoto!Kwa mujibu wa chanzo, Rose na Richie wamedaiwa kurudiana baada ya mwanadada huyo kumwagana na mzazi mwenzake, Malick Bandawe miezi ya hivi karibuni. “Hivi nyie wadaku mnajua Rose Ndauka...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slcrUBN4gL4csmO6YyHrYMYV-tFb6OpoI1c5aMlumpFqKSyPZtDJ3j72amtiNSl79XSgo1wusvdERzGJBePGINj9/FRONTJUMAMOSI1.jpg)
MADAI MAZITO: ROSE MUHANDO ATUNDIKWA MIMBA
STORI: Mwandishi Wetu
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a.k.a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi limenyetishiwa. Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando wakati akifanya yake. Mapema wiki hii, chanzo kimoja kilipiga simu katika chumba chetu cha habari na kusimulia kuhusu habari hiyo, kwamba, Rose...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zYbOSlfPdB0h4pzstbEXvqdtZhu4lIAIVf3chNKToajRXniGmxvSIRVYz13eMF3LqdWJI8Dt5VQet4NtZ*tkKgj/FRONTIJUMAA.gif)
MADAI MAZITO: AUNT ANASA MIMBA NJE YA NDOA
Stori: waandishi wetu
Madai mazito! Pamoja na kutumia nguvu kubwa kukanusha kwa miezi kadhaa, bado staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, anaendelea kugandwa na madai kwamba, amenasa mimba nje ya ndoa, Ijumaa lina mkanda kamili. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa viwanja na shosti yake, Wema Sepetu.
Habari hizo zilishika kasi mithili ya moto wa kifuu baada ya Aunt kunaswa Klabu ya New Maisha iliyopo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbUX6kybPRzRtT7WJDsvb6If7s4wQ396PrlL4WMQebRKuwIf02OfEYttX3pR2gyJQINE5jevJVDXXlEsrYgrle5J/diamond.jpg)
DIAMOND, ZARI MAHABA MAZITO
Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja
Siku chache baada ya kumwagwa na Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amenaswa kwenye mahaba mazito na msanii, mtangazaji, mjasiriamali, tajiri na mrembo mkali kuliko wote Afrika Mashariki, Zarinah Hassan a.k.a Zari au Boss Lady. Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimhagi msanii mrembo mkali...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzPohVmOd1Lee1Wq6*M7WUQmLmtn83KekxQWhd9k*UvBKatJqawGhY*3aCYMQGbObBpkiGgcUnBaSP86UdqH5qN8/20150202_012916.jpg?width=650)
OFM YAFICHUA MAGUMASHI YA KUSAJILI LAINI
Kikiosi cha OFM kikifanya uchunguzi kwa wakala magumashi. Stori: Waandishi Wetu/Amani WAKATI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ikiwasisitiza Watanzania na wamiliki wa kampuni za simu za mkononi kusajili laini zao kihalali ili kila mmoja abaki na taarifa sahihi, kitengo cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publisher mwanzoni mwa mwaka huu kilibaini usajili usiokidhi vigezo unaofanywa na mawakala wa Kampuni moja....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania