MADAI MAZITO: MCHUNGAJI ATOROSHA MKE WA MTU!
![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXZ4aShKMnvkMWURBjPySOO313EFl48Y8eGbuHZnj9YSMH-5u5ZfgUYXPDPyQ5F5HYk4Rxk47faj3uCbzJn3Sgsu/BACKAMANI.jpg)
Na Mwandishi Wetu MCHUNGAJI anayejiita nabii na mtume, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) aliyetajwa kwa jina moja la Emmanuel amejikuta ndani ya majanga kufuatia madai mazito kwamba amemtorosha mke wa mtu ambaye ni mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa kasi, Janet Mrema. Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa kasi, Janet Mrema anayedaiwa kutoroshwa na mchungaji huyo. Kwa mujibu wa...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania