Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND, ZARI MAHABA MAZITO

Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja
Siku chache baada ya kumwagwa na Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amenaswa kwenye mahaba mazito na msanii, mtangazaji, mjasiriamali, tajiri na mrembo mkali kuliko wote Afrika Mashariki,  Zarinah Hassan a.k.a Zari au Boss Lady. Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimhagi msanii mrembo mkali...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZARI, DIAMOND MAHABA KWEUPE UGANDA

STORI: HAMIDA HASSAN na Musa Mateja
STAA anayetamba na ngoma mpya ya Nitampata Wapi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wameoneshana malovee hadharani na kuwaacha watu midomo wazi. Nasibu Abdul ‘Diamond’akiwa kwenye pozi na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ . Tukio hilo lililoacha historia ya...

 

10 years ago

GPL

MADAI MAZITO: UTAJIRI WA ZARI MAGUMASHI

Mwandishi Wetu
NI madai ya chini kwa chini kutoka vyanzo vilivyo karibu na mwanamuziki nyota nchini Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’ ambaye kwa sasa ameshikamana kimapenzi na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwamba, utajiri anaoutangaza kuwa nao siyo kweli! Mwanamuziki nyota nchini Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’. Madai hayo yalilishangaza Risasi Jumamosi kiasi cha...

 

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!

Mapenzi ya Diamond na Zari The Bosslady tayari yameanza kupata vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wake na Huddah Monroe na ambaye pia ni mtu wa karibu na dereva wa aliyewahi kuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga ametangaza dau la $40,000 kwa Diamond ili amwache mpenzi wake huyo. Jamaa huyo amepost picha Facebook ya screenshot inayoonesha kuwa ni mawasiliano na Zari aliyekuwa akitaka amtumie fedha.Lawrence pia amemuita Diamond ‘Faggot’ neno linalomaanisha...

 

9 years ago

Bongo Movies

Diamond, Kajala Mahaba Niue!

NI gumzo! Ubuyu motomoto ambao unasambaa kwa kasi ya ajabu kama moto wa kifuu mjini unadai kuwa,  staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwigizaji Kajala Masanja wamedaiwa kuwa ni wapenzi na sasa ni mahaba niue, Risasi Jumamosi limesheheni full stori.

TUJIUNGE NA CHANZO

Kwa mujibu wa chanzo makini, uhusiano wa Diamond na Kajala  unadaiwa kuibuka ghafla miezi kadhaa iliyopita lakini wamekuwa wakifanya siri nzito kabla ya hivi karibuni kukolea zaidi baada ya mpenzi...

 

11 years ago

GPL

WEMA, DIAMOND MAHABA BARABARANI

MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, walijikuta wakionesha upendo wao mbele za watu kwa kudendeka  barabarani, Amani lilishuhudia. Nasibu Abdul ‘Diamond’, na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi la mahaba Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi karibuni maeneo ya Bamaga-...

 

10 years ago

GPL

WEMA, DIAMOND WAZINDUA GARI KWA MAHABA

Stori: Richard Bukos
Mahaba nimalize! Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wamesababisha tukio jipya kama kawaida yao, safari hii wameishtua kadamnasi kwa kuzindua gari jipya kwa mahaba mazito ndani yake, Ijumaa Wikienda lilinyaka mchongo mzima. Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

 

11 years ago

Bongo Movies

Wema ‘akana’ kuwa na ujauzito wa Diamond! Ila afunguka haya mazito, soma hapa

Baada ya stori nyingi kuzagaa kuwa mwigizaji na mpenzi halali wa mwanamuziki wa bongo fleva Diamond Platinumz – Wema sepetu kuwa yu mjamztio wa wiki 7 na mimba ya msanii huyo, hatimaye leo hii mwanadada Wema ameamua kufunguka “exclusively” kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kujibu habari hizo akisema haya yafuatayo kama tunavyomnukuu hapo chini…

“Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant(mjamzito).... sijui watu wanatolea wapi... Im NAT(NOT)... Dah... I wish I was... But im nat wapenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani