WEMA, DIAMOND WAZINDUA GARI KWA MAHABA
![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN5kSAfPiX-F-dW32NKJzXo9KdozfsV9FaDYLH3*t99UoHgaDoN448PpOcyRa0BrO79JNPFxUnwhXdOk2Qbzi19P/dimond.jpg)
Stori: Richard Bukos Mahaba nimalize! Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wamesababisha tukio jipya kama kawaida yao, safari hii wameishtua kadamnasi kwa kuzindua gari jipya kwa mahaba mazito ndani yake, Ijumaa Wikienda lilinyaka mchongo mzima. Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpHfqJJNDToDPjVJnYm4WBx*yj2vW596Yk3K*ot6-3pHrm0dl4NqVyiC-beczysWm2xbFU4od6C6Iu-HhI-Ie4JI/diamond.jpg?width=650)
WEMA, DIAMOND MAHABA BARABARANI
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Diamond Motors wazindua gari jipya la Mitsubishi 2015 ASX jijini Dar es Salaam
Hili ndilo gari la ASX Mitsubish jipya lililozinduliwa wiki iliyopita katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wema Sepetu akiwasha gari Jipya la ASX Mitsubishi katika uzinduzi wa gari hilo jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo na mwigizaji maarufu nchini, Wema Sepetu wamesifia gari jipya la Mitsubishi ASX la mwaka 2015 linalouzwa na kusambazwa na kampuni ya Diamond Motors (Hansa Group).
Katika uzinduzi wa kutambulisha gari hilo uliofanyika mwishoni mwa wiki...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0nSK1jz0HGD9bWOlE9luQJykaSFIkqi1rtdoUtQqSFF1g5uNJGAAmlU75Fn7ZomrElBYV2FETewPB6TWfr-FKc7/wema.jpg)
GARI LA DIAMOND LAMCHEFUA WEMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1R1gqINM7bwL3Lu5CB1TplUO2owucmhVUqS8x15kjIX8AhDXuN1kNyiVD-q6z40GMAk-mPFCWDN3LNNoWLDbPJrXRQf4144P/WEMAGARI.jpg)
WEMA AUZA GARI LA DIAMOND
10 years ago
Bongo Movies15 Dec
Wema Sepetu Alisusa Gari Alilopewa na Diamond Platnumz
Stori: Musa Mateja
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.
Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.
“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda...
10 years ago
CloudsFM29 Sep
DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.
10 years ago
Bongo529 Sep
Diamond amnunulia Wema gari jipya kama zawadi ya birthday