WEMA AUZA GARI LA DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/1R1gqINM7bwL3Lu5CB1TplUO2owucmhVUqS8x15kjIX8AhDXuN1kNyiVD-q6z40GMAk-mPFCWDN3LNNoWLDbPJrXRQf4144P/WEMAGARI.jpg)
Stori: Mwandishi wetu Lile gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015. Gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0nSK1jz0HGD9bWOlE9luQJykaSFIkqi1rtdoUtQqSFF1g5uNJGAAmlU75Fn7ZomrElBYV2FETewPB6TWfr-FKc7/wema.jpg)
GARI LA DIAMOND LAMCHEFUA WEMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN5kSAfPiX-F-dW32NKJzXo9KdozfsV9FaDYLH3*t99UoHgaDoN448PpOcyRa0BrO79JNPFxUnwhXdOk2Qbzi19P/dimond.jpg)
WEMA, DIAMOND WAZINDUA GARI KWA MAHABA
10 years ago
Bongo Movies15 Dec
Wema Sepetu Alisusa Gari Alilopewa na Diamond Platnumz
Stori: Musa Mateja
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.
Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.
“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda...
10 years ago
Bongo529 Sep
Diamond amnunulia Wema gari jipya kama zawadi ya birthday
10 years ago
CloudsFM29 Sep
DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-qf3f5-BRw6s/VCknFidh56I/AAAAAAAAp1M/BjfmWcNuL4o/s72-c/mkandamizaji.jpg)
SOMA ALICHOKIANDIKA MASANJA MKANDAMIZAJI BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI
![](http://1.bp.blogspot.com/-qf3f5-BRw6s/VCknFidh56I/AAAAAAAAp1M/BjfmWcNuL4o/s640/mkandamizaji.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gOGofQcXL_Q/VCkm55api_I/AAAAAAAAp1E/VjQ9MONSGAE/s640/10578427_497145340388741_1225262629_n.jpg)