GARI LA DIAMOND LAMCHEFUA WEMA
![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0nSK1jz0HGD9bWOlE9luQJykaSFIkqi1rtdoUtQqSFF1g5uNJGAAmlU75Fn7ZomrElBYV2FETewPB6TWfr-FKc7/wema.jpg)
Stori: Musa Mateja LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa. Ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond'. Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1R1gqINM7bwL3Lu5CB1TplUO2owucmhVUqS8x15kjIX8AhDXuN1kNyiVD-q6z40GMAk-mPFCWDN3LNNoWLDbPJrXRQf4144P/WEMAGARI.jpg)
WEMA AUZA GARI LA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN5kSAfPiX-F-dW32NKJzXo9KdozfsV9FaDYLH3*t99UoHgaDoN448PpOcyRa0BrO79JNPFxUnwhXdOk2Qbzi19P/dimond.jpg)
WEMA, DIAMOND WAZINDUA GARI KWA MAHABA
10 years ago
Bongo Movies15 Dec
Wema Sepetu Alisusa Gari Alilopewa na Diamond Platnumz
Stori: Musa Mateja
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.
Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.
“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda...
10 years ago
Bongo529 Sep
Diamond amnunulia Wema gari jipya kama zawadi ya birthday
10 years ago
CloudsFM29 Sep
DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-qf3f5-BRw6s/VCknFidh56I/AAAAAAAAp1M/BjfmWcNuL4o/s72-c/mkandamizaji.jpg)
SOMA ALICHOKIANDIKA MASANJA MKANDAMIZAJI BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUMZAWADIA WEMA SEPETU GARI
![](http://1.bp.blogspot.com/-qf3f5-BRw6s/VCknFidh56I/AAAAAAAAp1M/BjfmWcNuL4o/s640/mkandamizaji.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gOGofQcXL_Q/VCkm55api_I/AAAAAAAAp1E/VjQ9MONSGAE/s640/10578427_497145340388741_1225262629_n.jpg)
10 years ago
Bongo Movies29 Sep
Birthday ya Wema jana: Diamond amnunulia gari jipya kama zawadi ya birthday
Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.
Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.
“Nlitama nikupe vingi, wenda...