WEMA, DIAMOND MAHABA BARABARANI

MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, walijikuta wakionesha upendo wao mbele za watu kwa kudendeka barabarani, Amani lilishuhudia. Nasibu Abdul ‘Diamond’, na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi la mahaba Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi karibuni maeneo ya Bamaga-...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WEMA, DIAMOND WAZINDUA GARI KWA MAHABA
Stori: Richard Bukos
Mahaba nimalize! Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wamesababisha tukio jipya kama kawaida yao, safari hii wameishtua kadamnasi kwa kuzindua gari jipya kwa mahaba mazito ndani yake, Ijumaa Wikienda lilinyaka mchongo mzima. Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...
10 years ago
GPL
WEMA, IDRIS MAHABA NIUE!
WAANDISHI WETU
WAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother...
10 years ago
Vijimambo01 Apr
WEMA, IDRIS MAHABA NIUE AU PROJECT
WAANDISHI WA GPLWAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili.
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan.
NI ESCAPE ONE MIKOCHENIWawili hao walinaswa wakioneshana mahaba niue...
10 years ago
GPL
WEMA AONESHA MAHABA NIUE LIVE
Musa Mateja
LIVE! The Big Boss wa Kampuni ya Endless Fame Productions, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amejikuta akionesha mahaba niue kwa ‘kujibebisha’ kwa Mshiriki wa Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Manana huku akimmwagia sifa nyingi na kudai ndiye laazizi wa moyo wake kwa sasa baada ya kuachana na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’. The Big Boss wa...
9 years ago
GPL
WEMA, IDRISS, WAONESHANA MAHABA LIVE IKULU
Richard bukos MASTAA wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu, Alhamisi iliyopita walikuwa kwenye Ikulu ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wakionesha mahaba yao hadharani. Mastaa wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu wakikumbatiana. Mastaa hao ambao mara kadhaa wamekuwa wakikanusha vikali kuwa na uhusiano wa kujifunika shuka moja lakini mapozi yao ndiyo yalisababisha wawe gumzo...
10 years ago
GPL
WEMA, BOB JUNIOR LIVE, WATUMIA DAKIKA 10 KUONYESHANA MAHABA
Na Musa Mateja
LICHA ya Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwahi kufikishwa kortini na Mbongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior, wamebambwa ‘live’ wakioneshana mahaba niue, Amani lina tukio zima. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akiwa mapajani mwa Mbongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior'. TUJIUNGE TEGETA, DAR
Ishu hiyo iliyopigwa chabo na...
10 years ago
GPL
WEMA SEPETU AELEZA ‘MAHABA’ YAKE KWA MAKAMBA!
Brighton Masalu MTOTO ‘laini’ kunako tasnia ya urembo na filamu Bongo, Wema Sepetu ameeleza kwa hisia kali jinsi anavyompenda Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba katika utendaji kazi wake. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1TcExSo Â
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania