WEMA SEPETU AELEZA ‘MAHABA’ YAKE KWA MAKAMBA!
![](http://api.ning.com:80/files/lnNHCVxKyAIOeBWr13FzijgyCZ*HfUYQqY2-j0hLpQcBE9fHOSl31ey*N9PwcMaGtKxvPsw9YfhH5l7eetSxXBHf9jJm7UDw/wemasepetu1.jpg?width=650)
Brighton Masalu MTOTO ‘laini’ kunako tasnia ya urembo na filamu Bongo, Wema Sepetu ameeleza kwa hisia kali jinsi anavyompenda Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba katika utendaji kazi wake. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1TcExSo Â
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ZBJm913D5Hk/default.jpg)
11 years ago
Bongo Movies22 Jun
Matusi ya kwenye mitandao ya kijamii yamuumiza Wema Sepetu kwa kumgusa mama yake Mzazi
Mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha watu wengine wakifurahi, kukasirika na wengine wakitoa machozi kutokana na vita isiyo rasmi inayoendeshwa na team zinazoundwa na mashabiki wanaodai kumlinda mtu fulani maarufu.
Vita ya "team" hizi imekuwa serious zaidi kwa wasanii wa kike na mara nyingi hushambuliana kwa maneno na hata matusi ya nguoni pale mmoja anapotaka kuvuka msitari wa mwingine.
Vita hiyo imemgusa Wema Sepetu...
10 years ago
GPL17 Jan
11 years ago
GPLWEMA SEPETU AWAJIBU WALIOMCHAFUA MAMA YAKE
10 years ago
GPLWEMA SEPETU ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
9 years ago
Bongo520 Nov
Wema Sepetu kuisaliti ndoa yake kwenye ‘Chungu Cha Tatu’
![Wema Sepetu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wema-Sepetu-300x194.jpg)
Wema Sepetu amevaa uhusika kwenye filamu ya Chungu Cha Tatu kama mwanamke aliye ndani ya ndoa lakini anashindwa kujizuia na kuamua kutoka na wanaume wengine ili kukidhi mahitaji yake.
Akizungumza na Bongo5, afisa masoko wa kampuni ya Steps Entertainment, Kambarake alisema filamu hiyo italeta msisimko kutokana na mwanadada huyo kuivaa vyema uhusika wake.
“Wema ndio mhusika mkuu na ameingia kwenye mahusiano anajikuta anaingia kwa mwanaume fulani labda atapata anachohitaji. Kwahiyo mapenzi...
10 years ago
CloudsFM29 Dec
Wema Sepetu amtambulisha msanii mpya kwenye kampuni yake ya Endless Fame
Mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame,Wema Sepetu,akimtambulisha msanii mpya,Ally Luna ambaye atakuwa chini ya usimamizi wa kampuni hiyo ambapo alitambulishwa usiku wa kuamkia Dec 29 kwa mashabiki kwenye ukumbi wa Kibo Complex uliopo Tegeta Dar es Salam.
Shoo hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali akiwemo , Izzo Bizness, Barnaba, Bob Junior, God Zilla, Mirror na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye event hiyo.
Izzo B.
Bob Junior.
Petitman
Msanii Linex.
Msanii mpya wa Endless Fame,Ally Luna.