Wema Sepetu amtambulisha msanii mpya kwenye kampuni yake ya Endless Fame
Mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame,Wema Sepetu,akimtambulisha msanii mpya,Ally Luna ambaye atakuwa chini ya usimamizi wa kampuni hiyo ambapo alitambulishwa usiku wa kuamkia Dec 29 kwa mashabiki kwenye ukumbi wa Kibo Complex uliopo Tegeta Dar es Salam.
Shoo hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali akiwemo , Izzo Bizness, Barnaba, Bob Junior, God Zilla, Mirror na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye event hiyo.
Izzo B.
Bob Junior.
Petitman
Msanii Linex.
Msanii mpya wa Endless Fame,Ally Luna.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWEMA AMTAMBULISHA MSANII MPYA WA KAMPUNI YAKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WRH9ovbTZmCKRIRs9dIZS7GNvJxfPqtA-p4qK8HZFczzaxURPTVKVuNlm*UNsm-jc0qWk92I8SMPuFlTJXRErppvuZOos4S6/MIRRORTHEPLAYLIST.jpg?width=650)
MIRROR WA ENDLESS FAME KUFANYA YAKE NDANI YA THE PLAYLIST YA TIMES FM JUMAPILI HII
10 years ago
Vijimambo27 Jul
Weekend ya uchaguzi: Msanii Ksher kapita kwenye Ubunge, Wastara na Wema Sepetu hawakupata za kutosha
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/07/Ksher-1.jpg?resize=503%2C474)
2015 tumeshuhudia mastaa mbalimbali wa kike na wa kiume Tanzania wakitangaza nia ya kuingia bungeni akiwemo mwimbaji wa Taarab Mzee Yusuf, Profesa Jay, Steve Nyerere na kwa Wanawake waliojitokeza kuziwania nafasi za Ubunge wa viti maalum ni pamoja na waigizaji Wema Sepetu na Wastara, na msanii wa bongofleva Ksher.Wema Sepetu na Wastara hawakupita kutokana na kukosa kura za kutosha lakini Khadija Shaaban (Ksher) amepita tena ambapo alithibitisha hayo na wakati mwingi kwenye maneno yake ya...
9 years ago
Bongo520 Nov
Wema Sepetu kuisaliti ndoa yake kwenye ‘Chungu Cha Tatu’
![Wema Sepetu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wema-Sepetu-300x194.jpg)
Wema Sepetu amevaa uhusika kwenye filamu ya Chungu Cha Tatu kama mwanamke aliye ndani ya ndoa lakini anashindwa kujizuia na kuamua kutoka na wanaume wengine ili kukidhi mahitaji yake.
Akizungumza na Bongo5, afisa masoko wa kampuni ya Steps Entertainment, Kambarake alisema filamu hiyo italeta msisimko kutokana na mwanadada huyo kuivaa vyema uhusika wake.
“Wema ndio mhusika mkuu na ameingia kwenye mahusiano anajikuta anaingia kwa mwanaume fulani labda atapata anachohitaji. Kwahiyo mapenzi...
11 years ago
Bongo Movies22 Jun
Matusi ya kwenye mitandao ya kijamii yamuumiza Wema Sepetu kwa kumgusa mama yake Mzazi
Mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha watu wengine wakifurahi, kukasirika na wengine wakitoa machozi kutokana na vita isiyo rasmi inayoendeshwa na team zinazoundwa na mashabiki wanaodai kumlinda mtu fulani maarufu.
Vita ya "team" hizi imekuwa serious zaidi kwa wasanii wa kike na mara nyingi hushambuliana kwa maneno na hata matusi ya nguoni pale mmoja anapotaka kuvuka msitari wa mwingine.
Vita hiyo imemgusa Wema Sepetu...
10 years ago
Vijimambo01 Oct
UKUNGU WATANDA NI BAADA YA WEMA SEPETU KUKABIDHIWA MAGARI 2 KWENYE B DAY YAKE..BMW LAZUA MIGUNO
11 years ago
GPLWEMA SEPETU AWAJIBU WALIOMCHAFUA MAMA YAKE
10 years ago
GPLWEMA SEPETU ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA