WEMA SEPETU AWAJIBU WALIOMCHAFUA MAMA YAKE
Wema Sepetu. Sakata lenyewe lilianza hivi: Baada ya picha feki ya Mama Wema kuwekwa mtandaoni na instagram account ijulikanayo kama Homa_ya_jiji_Team_Dengue na Account nyingine maarufu ya kumtetea Wema Ijulikanayo kama Dogiemasta13 ilifanya kazi ya ziada kumshawishi Homa_ya_jiji_Team_Dengue kuifuta hiyo picha na baada ya muda ilifutwa kwa masharti kuwa Dougiemasta13 aifunge account yake, na account ikafungwa kweli. Wema...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies22 Jun
Matusi ya kwenye mitandao ya kijamii yamuumiza Wema Sepetu kwa kumgusa mama yake Mzazi
Mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha watu wengine wakifurahi, kukasirika na wengine wakitoa machozi kutokana na vita isiyo rasmi inayoendeshwa na team zinazoundwa na mashabiki wanaodai kumlinda mtu fulani maarufu.
Vita ya "team" hizi imekuwa serious zaidi kwa wasanii wa kike na mara nyingi hushambuliana kwa maneno na hata matusi ya nguoni pale mmoja anapotaka kuvuka msitari wa mwingine.
Vita hiyo imemgusa Wema Sepetu...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Mtanzania13 Apr
Wema Sepetu: Natamani kuitwa mama kabla sijafa
MREMBO wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, amesema kwamba muda wote wa maisha yake amekuwa akisaka ujauzito lakini anasikitika kwamba hana uwezo huo.
Mrembo huyo ambaye kwa sasa anataraji kuachia filamu yake mpya aliyomshirikisha msanii maarufu wa Nigeria, Van Viker, ameeleza namna anavyotamani kuitwa mama kwa kuwa ndicho kitu kikubwa kinachomuumiza katika maisha yake kwa sasa huku akitamani kuwa na mtoto kabla hajafa.
Kauli ya mrembo huyo aliyoiweka katika mtandao wake wa Instagram,...
10 years ago
GPLWEMA SEPETU ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
9 years ago
Bongo Movies19 Sep
Picha: Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wa bongo movies wanaokiunga mkono chama cha mapinduzi na kushiriki katika kwampeni za chama hicho kupitia kampeni yao ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
“Dah Tunashinda kwa Kishindo kikubwa mjue.. John Pombe Magufuli na Mama Samia mpaka Ikulu....”-Wema aliandika kwenye moja ya picha hizo hapo juu.
9 years ago
Bongo Movies28 Aug
Wema Sepetu, Steve Nyerere Kuzindua ‘Mama Ongea na Mwanao’ Leo
Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Wema Sepetu na Steve Nyerere leo wanatarajia kuzindua kampeni yao rasmi ya #MamaOngeaNaMwanao katika hotel ya Hyatt Kempinski jijini Dar Es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo itakayohudhuriwa na wake wa viongozi mbalimbali kama Janet Magufuli, Salma Kikwete, Mama Shein, Mama Bilal, Tunu Pinda, Zhakia Meghji, Asha Rose Migiro, na wengine wengi.
Chanzo: cloudsfm.com
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lnNHCVxKyAIOeBWr13FzijgyCZ*HfUYQqY2-j0hLpQcBE9fHOSl31ey*N9PwcMaGtKxvPsw9YfhH5l7eetSxXBHf9jJm7UDw/wemasepetu1.jpg?width=650)
WEMA SEPETU AELEZA ‘MAHABA’ YAKE KWA MAKAMBA!
9 years ago
Bongo520 Nov
Wema Sepetu kuisaliti ndoa yake kwenye ‘Chungu Cha Tatu’
![Wema Sepetu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wema-Sepetu-300x194.jpg)
Wema Sepetu amevaa uhusika kwenye filamu ya Chungu Cha Tatu kama mwanamke aliye ndani ya ndoa lakini anashindwa kujizuia na kuamua kutoka na wanaume wengine ili kukidhi mahitaji yake.
Akizungumza na Bongo5, afisa masoko wa kampuni ya Steps Entertainment, Kambarake alisema filamu hiyo italeta msisimko kutokana na mwanadada huyo kuivaa vyema uhusika wake.
“Wema ndio mhusika mkuu na ameingia kwenye mahusiano anajikuta anaingia kwa mwanaume fulani labda atapata anachohitaji. Kwahiyo mapenzi...