Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA AWAJIBU WANAOPIGA KILELE YA ZAWADI YAKE YA BMW

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.


na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...

 

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU AWAJIBU WALIOMCHAFUA MAMA YAKE

Wema Sepetu. Sakata lenyewe lilianza hivi:
Baada ya picha feki ya Mama Wema kuwekwa mtandaoni na instagram account ijulikanayo kama Homa_ya_jiji_Team_Dengue na Account nyingine maarufu ya kumtetea Wema Ijulikanayo kama Dogiemasta13 ilifanya kazi ya ziada kumshawishi Homa_ya_jiji_Team_Dengue kuifuta hiyo picha na baada ya muda ilifutwa kwa masharti kuwa Dougiemasta13 aifunge account yake, na account ikafungwa kweli.
Wema...

 

10 years ago

Vijimambo

UKUNGU WATANDA NI BAADA YA WEMA SEPETU KUKABIDHIWA MAGARI 2 KWENYE B DAY YAKE..BMW LAZUA MIGUNO

Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akiwa ndani ya Gari aina ya BMW 545i alilozawadiwa na meneja wake.Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao.
Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akiwa ndani ya Gari aina ya BMW 545i alilozawadiwa na meneja wake.NYUMBANI KWA MADAMPati hiyo ambayo...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.

 

10 years ago

Vijimambo

BIRTHDAY GIRL WEMA HII NDIYO ZAWADI YAKE KUTOKA KWA MR PLATNUMZ


Jitiririshe na surprise gift ya birthday ya Wema na utakubari mapenzi yao na Diamond ni Special given. Habari ndiyo hiii mambo mengine mwachie baba na mama na movie hii siyo ya leo wala kesho.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ACHARUKA BMW LA WEMA!

Stori: Mwandishi Wetu
Ni sheeedah! Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amecharukia gari aina ya BMW 545 alilozawadiwa mwandani wake, Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ambaye ni Miss Tanzania 2006/07, akipinga gari hilo kupewa na meneja wake, Martin Kadinda. Gari aina ya BMW 545i alilozawadiwa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na meneja wake, Martin...

 

10 years ago

GPL

BMW LA WEMA UTATA MTUPU

Stori: Waandishi Wetu
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao. Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akiwa ndani ya Gari aina ya BMW 545i alilozawadiwa na meneja wake. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani