DIAMOND ACHARUKA BMW LA WEMA!
![](http://api.ning.com:80/files/jPvKO*I18G-OCPw56dW4ItlwGl7sfwd595tHaEC7lBYqqS-1yFT2P7ozdV2xs*358TpKyGfq2bXdFqD6PDNsw-wmmzonrk2P/dimond.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu Ni sheeedah! Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amecharukia gari aina ya BMW 545 alilozawadiwa mwandani wake, Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ambaye ni Miss Tanzania 2006/07, akipinga gari hilo kupewa na meneja wake, Martin Kadinda. Gari aina ya BMW 545i alilozawadiwa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na meneja wake, Martin...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://lh4.ggpht.com/-CZ3h9tdiFAc/VChJcUX2MmI/AAAAAAAAMgg/BjiDPT1b1Cw/s72-c/PhotoGrid_1411925803238.jpg)
DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.
![](http://lh4.ggpht.com/-CZ3h9tdiFAc/VChJcUX2MmI/AAAAAAAAMgg/BjiDPT1b1Cw/s640/PhotoGrid_1411925803238.jpg)
na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aDnEqQYbuL9Dv9gjOBcdRf8-ngxe*YvAhBJtSMdGCLHNNc0P68Oqvc1pdIqhgbpyUQtbiJMKS8Q3hr3VcNWqYziG6prhSRpA/BMW.jpg?width=650)
BMW LA WEMA UTATA MTUPU
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/0YXs-Z7sAcc/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo01 Oct
UKUNGU WATANDA NI BAADA YA WEMA SEPETU KUKABIDHIWA MAGARI 2 KWENYE B DAY YAKE..BMW LAZUA MIGUNO
10 years ago
Bongo Movies03 Oct
10 years ago
Bongo Movies03 Oct
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...