Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tazama picha zote za birthday ya Diamond ilivyokuwa jana. Apewa zawadi ya gari aina ya BMW X6

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.


na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...

 

10 years ago

Bongo Movies

Birthday ya Wema jana: Diamond amnunulia gari jipya kama zawadi ya birthday

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.

wema6

Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.

“Nlitama nikupe vingi, wenda...

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

Bongo5

Jaffarai ajinunulia gari hii kama zawadi ya birthday (Picha)

Diamond Platnumz amemnununua Wema Sepetu gari jipya kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa iliyokuwa jana. Lakini Jaffarai ambaye siku yake ya kuzaliwa ni leo, hana mtu wa kumnunulia zawadi ya aina hiyo na ndio maana ameamua kujipa mwenyewe. Jaffarai na gari lake jipya “I thank you Lord for making it possible for me to […]

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.

 

10 years ago

Bongo5

Diamond amnunulia Wema gari jipya kama zawadi ya birthday

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan. Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana […]

 

10 years ago

GPL

GARI AINA YA BMW‏ INAUZWA

  Muonekano wa gari aina ya BMW.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani