Wema Sepetu, Steve Nyerere Kuzindua ‘Mama Ongea na Mwanao’ Leo
Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Wema Sepetu na Steve Nyerere leo wanatarajia kuzindua kampeni yao rasmi ya #MamaOngeaNaMwanao katika hotel ya Hyatt Kempinski jijini Dar Es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo itakayohudhuriwa na wake wa viongozi mbalimbali kama Janet Magufuli, Salma Kikwete, Mama Shein, Mama Bilal, Tunu Pinda, Zhakia Meghji, Asha Rose Migiro, na wengine wengi.
Chanzo: cloudsfm.com
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 Sep
Picha: Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wa bongo movies wanaokiunga mkono chama cha mapinduzi na kushiriki katika kwampeni za chama hicho kupitia kampeni yao ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
“Dah Tunashinda kwa Kishindo kikubwa mjue.. John Pombe Magufuli na Mama Samia mpaka Ikulu....”-Wema aliandika kwenye moja ya picha hizo hapo juu.
10 years ago
Bongo Movies12 Aug
Picha: Wema Sepetu na Steve Nyerere Wakiwa Ikulu ya Dodoma na Rais Kikwete
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wabongo movies, Wema Sepetu na Steve Nyerere zilizo trend siku ya leo kwenye mtandao wa instagram wakiwa na Rais Kitwete Ikulu ndogo, Dodoma.
“Wakati nyie mnaongea upuuzi… Yangu yaninyookea….. Alhamdulillah… Wa moja havai mbili… Abadan asilan…. Earlier today… Ikulu… Dodoma… Thank u Mr.President”-Wema aliandika hayo kwenye moja ya picha hizo.
Kwa maneno hayo, inawezekana mastaa hawa wakawa wamepata shavu kutoka kwa...
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete azindua Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao


10 years ago
Bongo Movies21 Aug
Mastaa Bongo movie wazindua kampeni ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Siku ya jana, Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama Ongea Na Mwanao.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kampeni hiyo Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari alisema…‘Mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na mwanao ni kwamba hii Mama ongea na mwanao nadhani mmeona tangu tumepata uhuru nchi yetu haijawahi kuwa na makamu urais mwanamke hii ni historia kwa Tanzania mimi na imani...
10 years ago
Michuzi20 Aug
Wasanii kuipigia debe CCM na tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015.


11 years ago
GPL
STEVE NYERERE AMUONYA WEMA
10 years ago
Bongo Movies09 May
Wema: Ray, Steve Nyerere Wanafiki Wakubwa
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kusema kwamba, wasanii wenzake Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ ni wanafiki wakubwa baada ya kumtosa kwenye Pati ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni jijini Mwanza.
Akizungumza na paparazi wa GPL, Wema alisema alikubaliana na mastaa hao kutoenda kwenye Shoo ya Zari All White Party iliyofanyika Mlimani City jijini Dar badala yake waongozane naye jijini Mwanza lakini wakamgeuka.
“Sitaki...
10 years ago
GPL
STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LULU KIFUANI
10 years ago
Vijimambo16 Jan
STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LUU KIFUANI

Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho The Great Follen Tree.Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa...