Wasanii kuipigia debe CCM na tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015.
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda).
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-L-gxym0UdRU/VeFfAAJ20HI/AAAAAAAH0uw/MyUfvohKwhk/s72-c/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
Rais Kikwete azindua Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao
![](http://4.bp.blogspot.com/-L-gxym0UdRU/VeFfAAJ20HI/AAAAAAAH0uw/MyUfvohKwhk/s640/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UDSryMQxxpE/VeFfACuAYFI/AAAAAAAH0uo/Ev_EQ6hCMo8/s640/unnamed%2B%25284%2529.jpg)
9 years ago
Bongo Movies21 Aug
Mastaa Bongo movie wazindua kampeni ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Siku ya jana, Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama Ongea Na Mwanao.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kampeni hiyo Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari alisema…‘Mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na mwanao ni kwamba hii Mama ongea na mwanao nadhani mmeona tangu tumepata uhuru nchi yetu haijawahi kuwa na makamu urais mwanamke hii ni historia kwa Tanzania mimi na imani...
9 years ago
Bongo Movies19 Sep
Picha: Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wa bongo movies wanaokiunga mkono chama cha mapinduzi na kushiriki katika kwampeni za chama hicho kupitia kampeni yao ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
“Dah Tunashinda kwa Kishindo kikubwa mjue.. John Pombe Magufuli na Mama Samia mpaka Ikulu....”-Wema aliandika kwenye moja ya picha hizo hapo juu.
9 years ago
Bongo Movies28 Aug
Wema Sepetu, Steve Nyerere Kuzindua ‘Mama Ongea na Mwanao’ Leo
Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Wema Sepetu na Steve Nyerere leo wanatarajia kuzindua kampeni yao rasmi ya #MamaOngeaNaMwanao katika hotel ya Hyatt Kempinski jijini Dar Es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo itakayohudhuriwa na wake wa viongozi mbalimbali kama Janet Magufuli, Salma Kikwete, Mama Shein, Mama Bilal, Tunu Pinda, Zhakia Meghji, Asha Rose Migiro, na wengine wengi.
Chanzo: cloudsfm.com
10 years ago
Habarileo25 Mar
Serikali ina haki ya ‘kuipigia debe’ Katiba mpya
SERIKALI imesema kuwa ina haki ya kuwahamasisha wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ndio iliyohusika kuiandaa.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bGawF3RRkacA*G3eQyx85e8V-Rn7*fRs13sKlCVChMNv6g*0vSWql70oOkxJZ6WjzssogcNO161gRn10y4DfIU6yZuPQ4w0r/SteveNyerereWemanawenzakewakiongeanawaandishijijini.jpg)
MASTAA WAZINDUA KAMPENI YA CCM ‘MAMA SEMA NA MWANAO’
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GH-B8PadDAA/VONXJNItEII/AAAAAAAHELE/l1XN1g3fi9s/s72-c/salma-pps.jpg)
MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUIPIGIA KURA YA NDIYO KATIBA PENDEKEZWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-GH-B8PadDAA/VONXJNItEII/AAAAAAAHELE/l1XN1g3fi9s/s1600/salma-pps.jpg)
Wananchi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo katiba inayopendekezwa kwani ni bora na imegusa maeneo yote kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wananchi waliohudhuria sherehe ya kushangilia ushindi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa Ruaha kata ya Mingoyo...
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Gwiji wa muziki Afrika Mama Dorothy Masuka akonga tamasha la ZIFF 2015
Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka akiwa jukwaani katika shoo yake usiku wa Julai 19, katika tamasha la 18, la ZIFF 2015,Ngome Kongw upande wa Mambo Club. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com-Zanzibar)
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Zanzibar) Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka kutoka Afrika Kusini ambaye pia anatamba na wimbo wa ‘Hapo zamani’ usiku wa Julai 19 ameweza kukonga nyoyo za wadau wa...
10 years ago
Vijimambo20 Jul
Gwiji wa muziki Afrika Mama Dorothy Masuka akonga tamasha la ZIFF 2015
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC_0266.jpg)
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC_0336.jpg)
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC_0362.jpg)
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC_0388.jpg)
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC_0391.jpg)
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC_0395.jpg)