Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA WAZINDUA KAMPENI YA CCM ‘MAMA SEMA NA MWANAO’

Steve Nyerere akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). Wasanii waliokuwa kwenye kampeni hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja. Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu na wasanii wenzake wa kike leo wamezindua Kampeni ya ‘Mama Sema na Mwanao’ ambayo itafanya tamasha kubwa lenye lengo la kuongea na vijana na litazunguka mikoa kumi ya Tanzania kwa ajili ya kuamsha vijana ikiwa ni moja ya sera za Chama Cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Mastaa Bongo movie wazindua kampeni ya ‘Mama Ongea na Mwanao’

Siku ya jana, Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama Ongea Na Mwanao.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kampeni hiyo Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari alisema…‘Mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na mwanao ni kwamba hii Mama ongea na mwanao nadhani mmeona tangu tumepata uhuru nchi yetu haijawahi kuwa na makamu urais mwanamke hii ni historia kwa Tanzania mimi na imani...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao

Wasanii wa Filamu nchini Wema Sepetu na Steven Nyerere wakimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam kuzindua Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao illi aipigie kura CCM.Kampeni hiyo imeratibiwa na Wasanii wa filamu wakuongozwa Wema Sepetu na Steven Nyerere. Msanii wa Filamu Bi.Wema Sepetu akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete tuzo maalum kwa kutambua mchango wake katika kulinda na kuthamini kazi za wasanii nchini...

 

9 years ago

Michuzi

Wasanii kuipigia debe CCM na tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015.

Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda). Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda).Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere wakiwa katika mkutano huo. Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere...

 

10 years ago

Michuzi

WORD LUNG FOUNDATION NA SERIKALI YA MKOA WA KIGOMA WAZINDUA KAMPENI YA THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO NA MTOTO

Na Editha Karo wa Globu ya Jamii, Kigoma
SERIKALI ya Mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Word Lung Foundation chini ya ufadhili wa Swedish Internatinol Agency (SIDA) wamezindua Mkoani hapa kampeni ya''THAMINI UHAI OKOA MAMA MJAMZITO NA MTOTO''
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya alisema kuwa lengo la kampeni hiyo kuongeza na huduma kwa akina mama wajawazito waweze kujifungulia katika vituo vya huduma ya afya.
''Hawa...

 

10 years ago

GPL

WORLD LUNG FOUNDATION NA SERIKALI YA MKOA WA KIGOMA WAZINDUA KAMPENI YA THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO NA MTOTO

Wahudumu wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma maweni pamoja na wananchi wakitembea kwa maandamano kuelekea katika viwanja vya Sekondari ya Mwananchi Mkoani Kigoma kwaajili ya uzinduzi wa kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akizindua kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA MAMA MJAMZITO''katika viwanja vya… ...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM Zanzibar wazindua rasmi kampeni, Shein aahidi kudumisha mapinduzi

Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar leo wamezindua rasmi kampeni za kitaifa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

CCM WAZINDUA KAMPENI JIMBO LA MLALO WILAYA YA LUSHOTO MWISHONI MWA WIKI

Katibu wa chama hicho wilayani Lushoto, ndugu Mahanyu, akizungumza wakati wa kuzindua kampeni za chama hicho katika viwanja vya Lwandai Mlalo wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga, akiwa na Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha  Mapinduzi,CCM jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi  wishoni mwa wiki.  Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha  Mapinduzi,CCM jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika viwanja vya Lwandai Mlalo, kulia ni Mgombea wa udiwani  wa kata ya...

 

9 years ago

Vijimambo

CCM ZANZIBAR WAZINDUA KAMPENI ZAO UWANJA WA DEMOKRASIA KIBANDA MAITI UNGUJA

Rais jakaya Kikwete akimkabidhi irani ya ccm, mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za chama hicho uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti, mjini Unguja jioni ya leo. Picha na OMRRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani