Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM ZANZIBAR WAZINDUA KAMPENI ZAO UWANJA WA DEMOKRASIA KIBANDA MAITI UNGUJA

Rais jakaya Kikwete akimkabidhi irani ya ccm, mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za chama hicho uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti, mjini Unguja jioni ya leo. Picha na OMRRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CCM Blog

MAMA SAMIA ATUA MJINI ZANZIBAR, KUUNGURUMA NA DK. SHEIN LEO UWANJA WA DEMOKRASIA aka KIBANDA MAITI JIONI HII

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya mkutano wa kampeni utakaofanyika jioni hii kwenye Viwanja vya Demokrasia au Kibanda maiti
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mume wake, Hafidh Ameir, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai Ali Vuai
 Mgombea Urais kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA HADHARA WA CCM WAFUNIKA KIBANDA MAITI MJINI UNGUJA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akiwasalimia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sikiliza Mkutano wa Leo Kibanda Maiti Zanzibar live stream from Swahiba FM

Ndugu wadau mlioko nje ya Zanzibar mnaweza kufuatilia mkutano wa leo tar 23, kuchukua fomu kwa Maalim Seif, Kibandamaiti Zanzibar, unaweza kusikiliza moja kwa moja kupitia swahiba Fm http://www.swahibafm.com pia Chuchu FM http://www.chuchufm.com Karibuni sana.

The post Sikiliza Mkutano wa Leo Kibanda Maiti Zanzibar live stream from Swahiba FM appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

CCM YAZINDUA RASMI KAMPENI YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR MJINI UNGUJA


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein  akihutubia  wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais  katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja. Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala  Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha ilani ya Uchaguzi ya CCM mbele ya...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM Zanzibar wazindua rasmi kampeni, Shein aahidi kudumisha mapinduzi

Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar leo wamezindua rasmi kampeni za kitaifa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja

 Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja ukiwa katika hatua za mwisho katika matengenezo,ambapo Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, aliahidiwa kumalizika hivi karibuni wakati alipofanya ziara leo ya kuona maendeleo ya ujenzi huo.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA UKAWA WAZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
 Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA TUNGUU, UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Uwakilishi Jimbo jipya la Tunguu Simai Mohammed Said  wakati wa  Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Uwakilishi Jimbo la Uzini Mohammed Raza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani