Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA SAMIA ATUA MJINI ZANZIBAR, KUUNGURUMA NA DK. SHEIN LEO UWANJA WA DEMOKRASIA aka KIBANDA MAITI JIONI HII

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya mkutano wa kampeni utakaofanyika jioni hii kwenye Viwanja vya Demokrasia au Kibanda maiti
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mume wake, Hafidh Ameir, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai Ali Vuai
 Mgombea Urais kwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA ATUA ZANZIBAR LEO, KUUNGURUMA KIBANDAMAITI NA DK. SHEIN JIONI HII

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya mkutano wa kampeni utakaofanyika jioni hii kwenye Viwanja vya Demokrasia au Kibanda maiti. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMOMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mume wake, Hafidh Ameir, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai...

 

9 years ago

Vijimambo

CCM ZANZIBAR WAZINDUA KAMPENI ZAO UWANJA WA DEMOKRASIA KIBANDA MAITI UNGUJA

Rais jakaya Kikwete akimkabidhi irani ya ccm, mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za chama hicho uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti, mjini Unguja jioni ya leo. Picha na OMRRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA ATUA KWA CHOPA NA KUUNGURUKA SUMBAWANGA MJINI LEO

 Bando la kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan,likiwa limeshikwa na wananchi katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa  leo Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo, ambako mgombea huyo alihutubia mkutano mkubwa wa kampeni. Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA HADHARA WA CCM WAFUNIKA KIBANDA MAITI MJINI UNGUJA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti,Mjini Unguja Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akiwasalimia wananchi wa Unguja waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa...

 

9 years ago

CCM Blog

MAMA SAMIA, DK. SHEIN WAFUNGA KAZI KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR LEO

Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM, uliofanyika leo kwenye Viwanja hivyo mjini Zanzibar.
 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu hassan baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
 Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA NA DK. SHEIN WAFUNGA KAZI MKUTAO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR LEO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibanda maiti mjini Zanzibar Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akizungumza kwenye mktano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar Dogo Aslay akitumbuiza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo Kibandamaiti mjini Zanzibar. Mgomea Mwenza wa Urais kwa tikei ya CCM Mama Samia Suluhu...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sikiliza Mkutano wa Leo Kibanda Maiti Zanzibar live stream from Swahiba FM

Ndugu wadau mlioko nje ya Zanzibar mnaweza kufuatilia mkutano wa leo tar 23, kuchukua fomu kwa Maalim Seif, Kibandamaiti Zanzibar, unaweza kusikiliza moja kwa moja kupitia swahiba Fm http://www.swahibafm.com pia Chuchu FM http://www.chuchufm.com Karibuni sana.

The post Sikiliza Mkutano wa Leo Kibanda Maiti Zanzibar live stream from Swahiba FM appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AITEKA BAGAMOYO JIONI HII

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCm, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Ikulu, Bagamoyo mkoa wa Pwani. (Picha na Bashir Nkoromo).Mgombea Ubunge jimbo la Bagamoyo, Shukuru Kawambwa akiomba kura baada ya kutambulishwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan Katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa Ikulu mjini Bagamyo.Mjumbe wa NEC, Livingstone Lusinde...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AITEKA KONGA JIONI HII

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi atika mutano wa kampeni uliofanyika leo, katika eneo la kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo.Wasanii waliopo katika kampeni ya Mama Ongea na Mwanao mpigie kura Dk. Magufuli, wakiwa kwenye mkutano huo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani