Rais Kikwete azindua Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao
![](http://4.bp.blogspot.com/-L-gxym0UdRU/VeFfAAJ20HI/AAAAAAAH0uw/MyUfvohKwhk/s72-c/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
Wasanii wa Filamu nchini Wema Sepetu na Steven Nyerere wakimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam kuzindua Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao illi aipigie kura CCM.Kampeni hiyo imeratibiwa na Wasanii wa filamu wakuongozwa Wema Sepetu na Steven Nyerere.
Msanii wa Filamu Bi.Wema Sepetu akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete tuzo maalum kwa kutambua mchango wake katika kulinda na kuthamini kazi za wasanii nchini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies21 Aug
Mastaa Bongo movie wazindua kampeni ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Siku ya jana, Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama Ongea Na Mwanao.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kampeni hiyo Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari alisema…‘Mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na mwanao ni kwamba hii Mama ongea na mwanao nadhani mmeona tangu tumepata uhuru nchi yetu haijawahi kuwa na makamu urais mwanamke hii ni historia kwa Tanzania mimi na imani...
9 years ago
Bongo Movies19 Sep
Picha: Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wa bongo movies wanaokiunga mkono chama cha mapinduzi na kushiriki katika kwampeni za chama hicho kupitia kampeni yao ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
“Dah Tunashinda kwa Kishindo kikubwa mjue.. John Pombe Magufuli na Mama Samia mpaka Ikulu....”-Wema aliandika kwenye moja ya picha hizo hapo juu.
9 years ago
Michuzi20 Aug
Wasanii kuipigia debe CCM na tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015.
![Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda).](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00061.jpg)
![Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_00041.jpg)
9 years ago
Bongo Movies28 Aug
Wema Sepetu, Steve Nyerere Kuzindua ‘Mama Ongea na Mwanao’ Leo
Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Wema Sepetu na Steve Nyerere leo wanatarajia kuzindua kampeni yao rasmi ya #MamaOngeaNaMwanao katika hotel ya Hyatt Kempinski jijini Dar Es Salaam.
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo itakayohudhuriwa na wake wa viongozi mbalimbali kama Janet Magufuli, Salma Kikwete, Mama Shein, Mama Bilal, Tunu Pinda, Zhakia Meghji, Asha Rose Migiro, na wengine wengi.
Chanzo: cloudsfm.com
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bGawF3RRkacA*G3eQyx85e8V-Rn7*fRs13sKlCVChMNv6g*0vSWql70oOkxJZ6WjzssogcNO161gRn10y4DfIU6yZuPQ4w0r/SteveNyerereWemanawenzakewakiongeanawaandishijijini.jpg)
MASTAA WAZINDUA KAMPENI YA CCM ‘MAMA SEMA NA MWANAO’
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-0e-5euk5OHA/VewZa4bhrEI/AAAAAAAAyrE/-MtEJ7NT_uM/s72-c/AA8A7699.jpg)
RAIS KIKWETE AZINDUA KAMPENI MAALUM YA KUITANGAZA TANZANIA NA VIVUTIO VYA UTALII KIMATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-0e-5euk5OHA/VewZa4bhrEI/AAAAAAAAyrE/-MtEJ7NT_uM/s640/AA8A7699.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wczjejfcnk0/VewZbbmU6EI/AAAAAAAAyrI/eSdS9IMBtWQ/s640/AA8A7720.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-3DH7-jw7WQ8/UxteHrPrJZI/AAAAAAAFSE4/ZwrL-cm0tls/s72-c/unnamed+(15).jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-3DH7-jw7WQ8/UxteHrPrJZI/AAAAAAAFSE4/ZwrL-cm0tls/s1600/unnamed+(15).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dqMn38Ux1gQ/UxteOODFUfI/AAAAAAAFSF8/1vTWZir4bcA/s1600/unnamed+(16).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NsQ_l5mt9o0/VfWQPvmyoQI/AAAAAAAAzAw/AWfaTLY_G48/s72-c/1.jpg)
MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-NsQ_l5mt9o0/VfWQPvmyoQI/AAAAAAAAzAw/AWfaTLY_G48/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0U3pcgc34Sk/VfWQP_Do12I/AAAAAAAAzA0/Etsz5_Zs9H0/s640/2.jpg)