Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AZINDUA KAMPENI MAALUM YA KUITANGAZA TANZANIA NA VIVUTIO VYA UTALII KIMATAIFA

RAIS Jakaya Kikwete, akizungumza wakati akizindua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Kushuto ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi.RAIS Jakaya Kikwete, akizndua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TUMIENI VYOMBO VYA KIMATAIFA KUITANGAZA TANZANIA - WAZIRI MAGHEMBE

Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Maghembe (MB) ameitaka Bodi ya Utalii Tanzania- TTB kuendelea kutumia vyombo vya habari vya Kimataifa kama vile CNN, BBC n.k kuitangaza Tanzania kama eneo la Utalii duniani sambasamba na kuweka makala na matangazo ya utalii wetu katika majarida ya Kimataifa yanayoandika habari za Utalii na usafiri (Travel Magazine) ambayo ndiyo husomwa na watalii wengi duniani.
 “Kama kweli tunataka kupata watalii wengi zaidi pamoja na mambo mengine ni lazima...

 

10 years ago

Michuzi

wizara ya MALIASILI NA UTALII YAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Malisili na Utalii azindua maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili International Tourism Expo (SITE)

2a

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akipongezana na Balozi Charles Sanga Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB mara baada ya kuzindua rasmi SITE ya Maonyesho ya Kimataifa Utalii ya Tanzania yanayojulikana kama Swahili International Tourism Expo (SITE) kwenye hoeli ya Serena Mwisho ni mwa wiki, Maonyesho hayo yatakayohusisha kampuni binafsi, taasisi za kiserikali kama Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na washirika wengine katika sekta hiyo...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AZINDUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (SITE)‏

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Razalo Nyalandu akizungumza katika uzinduzi huo wakati alipokuwa akisoma hotuba yake. Wageni waalikwa mbalimbali wakiangalia jinsi mabanda yatakayotumiwa na washiriki wa maonyesho…

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Tangazeni vivutio vya utalii- Nyalandu


NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI za utalii nchini, zimetakiwa kutangaza vivutio vya utalii, ndani na nje ya nchi.
Waziri  wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alisema hayo  jijini Arusha,  wakati akifungua mkutano mkuu wa Wamiliki wa Kampuni ya Kusafirisha Watalii (TATO).
Alisema kazi ya kutangaza utalii inapaswa kupewa kipaumbele katika kampuni hizo.
Alizitaka kampuni hizo kuhakikisa zinaongeza kiasi kikubwa cha watalii wanaoingia  nchini, ili kuiingizia serikali fedha nyingi za kigeni na kuachana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vivutio vya utalii Rungwe havitangazwi

WILAYA ya Rungwe mkoani Mbeya imeshindwa kupaa kiuchumi kwa kutovitangaza vivutio vya utalii vilivyopo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa Christian and Gospel Ministry (CGM) wilayani humo, Watson...

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa kutangaza vivutio vya utalii

KLABU ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro (MECKI) imeiomba serikali mkoani humo, kusaidia kufanikisha mradi wa utangazaji wa vivutio vya utalii mkoani humo, ambao utagharimu zaidi ya Sh milioni 145.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania tembeleeni vivutio vya utalii’

WATANZANIA wamehimizwa kutembelea vivutio vya utalii nchini kwa ajili ya kujifunza, kutangaza utalii wa ndani na kuongeza pato la taifa. Ushauri huo ulitolewa juzi na Ofisa Utalii wa Hifadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani