Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Malisili na Utalii azindua maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili International Tourism Expo (SITE)

2a

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akipongezana na Balozi Charles Sanga Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB mara baada ya kuzindua rasmi SITE ya Maonyesho ya Kimataifa Utalii ya Tanzania yanayojulikana kama Swahili International Tourism Expo (SITE) kwenye hoeli ya Serena Mwisho ni mwa wiki, Maonyesho hayo yatakayohusisha kampuni binafsi, taasisi za kiserikali kama Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na washirika wengine katika sekta hiyo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AZINDUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (SITE)‏

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Razalo Nyalandu akizungumza katika uzinduzi huo wakati alipokuwa akisoma hotuba yake. Wageni waalikwa mbalimbali wakiangalia jinsi mabanda yatakayotumiwa na washiriki wa maonyesho…

 

10 years ago

Dewji Blog

Banda la Bodi ya Utalii Afrika Kusini kwenye maonesho ya kimataifa ya Swahili Expo (SiTE)

2_1

 Rais wa Tanzania Mh.Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba wakati wa ufunguaji wa maonesho ya Kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar es Salaam leo.

pix2

Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba akifanya mahojiano na mwandishi wa Capital Tv Bi. Yvonne Msemembo kabla ya uzinduzi wa maonesho ya kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar Es Salaam jana.

pix3

Mkurugenzi wa Kanda ya...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete kuzindua onesho la Utalii la Swahili International Expo

 Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Devotha Mdachi (kulia) akizungumza jana Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya onesho la Swahili International Expo linalotarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia Oktoba Mosi hadi 3, mwaka huu katika ukumbi wa mlimani City Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja wa kampuni ya fastjet Jimmy Kibati kama mmoja wa wadhamini.Mratibu wa onesho la Swahili International Expo Philip Chitaunga (kulia) akizungumza Dar es Salaam jana kuhusu onesho hilo...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KUKUZA BIASHARA YA UTALII YA SWAHILI (SITE) JIJINI DAR.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi maonesho ya Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Meneja waFast Jet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya...

 

10 years ago

TheCitizen

TZ unveils international Swahili tourism expo

In efforts to market tourism, the country’s largest foreign exchange earner, Tanzania Tourist Board has initiated Swahili International Tourism Expo (S!TE) to be held annually.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KILIFAIR 2015

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Moshi Club kwa ajili ya kufungua rasmi maonesho ya kimatifa ya Kitalii yajulikanayo kama KiliFair 2015.Naibu waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akisalimiana na Naibu waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo wa Zanzabar Bi Hindi Khamis walipokutana katika maonesho hayo.Mgeni rasmi katika maonesho hayo,Naibu waziri wa utalii,Mohamed Mgimwa akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII,MOHAMED MGIMWA AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KILIFAIR 2015.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Moshi Club kwa ajili ya kufungua rasmi maonesho ya kimatifa ya Kitalii yajulikanayo kama KiliFair 2015.Naibu waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akisalimiana na Naibu waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo wa Zanzabar Bi Hindi Khamis walipokutana katika maonesho hayo.Mgeni rasmi katika maonesho hayo,Naibu waziri wa utalii,Mohamed Mgimwa akiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Mailiasili na Utalii, Mohamed Mgimwa afungua maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Kilifair 2015

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Moshi Club kwa ajili ya kufungua rasmi maonesho ya kimatifa ya Kitalii yajulikanayo kama KiliFair 2015. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa akisalimiana na Naibu waziri wa Habari Utamaduni, Utalii na Michezo wa Zanzabar Bi Hindi Khamis walipokutana katika maonesho hayo. Mgeni rasmi katika maonesho hayo, Naibu Waziri wa Utalii, Mohamed Mgimwa...

 

9 years ago

GPL

MAONESHO YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO 2015 YAZINDULIWA KWA KISHINDO

Mgeni rasmi Dk. Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa maonesho hayo. Maonesho haya ya pili ya Swahili International Tourism Expo 2015 yalipata nafasi ya kutembelewa na Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akiwa ndiye mgeni rasmi pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania, Dk. Adelhelm Meru. Maonesho haya yatakayochukua takribani siku tatu mpaka tarehe 03-10-2015 kwa mwaka huu, katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani