Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUMIENI VYOMBO VYA KIMATAIFA KUITANGAZA TANZANIA - WAZIRI MAGHEMBE

Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Maghembe (MB) ameitaka Bodi ya Utalii Tanzania- TTB kuendelea kutumia vyombo vya habari vya Kimataifa kama vile CNN, BBC n.k kuitangaza Tanzania kama eneo la Utalii duniani sambasamba na kuweka makala na matangazo ya utalii wetu katika majarida ya Kimataifa yanayoandika habari za Utalii na usafiri (Travel Magazine) ambayo ndiyo husomwa na watalii wengi duniani.
 “Kama kweli tunataka kupata watalii wengi zaidi pamoja na mambo mengine ni lazima...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA KAMPENI MAALUM YA KUITANGAZA TANZANIA NA VIVUTIO VYA UTALII KIMATAIFA

RAIS Jakaya Kikwete, akizungumza wakati akizindua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Kushuto ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi.RAIS Jakaya Kikwete, akizndua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa...

 

11 years ago

Michuzi

Gazeti la Financia Report la nchini Uingereza kuitangaza Zanzibar Kimataifa

Mhariri muandamizi wa Gazeti la Financia Report lenye Makao Makuu yake London Nchini Uingereza Bwana Rohit Devan akimuarifu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi azma ya Gazeti hilo ya kutaka kuitangaza Zanzibar Kimataifa katika Nyanja ya Utamaduni, Uwezekaji na Utalii. Mkurugenzi wa Kituo cha Matangazo ya Televisheni cha Afrika { Africa TV } Bwana Muharami Iddiss akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Cheti maalum cha Africa TV cha...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGHEMBE ATOA MSIMAMO WA TANZANIA KUHUSU MTO NILE

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akiwa na mgeni wake, Balozi, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Kuratibu Programu Ya Maji, Joseph Kakunda. Waziri wa Maji akiagana na mgeni wake, Balozi, Dk. Yassir Mohammed Ali.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe jana alikutana na Balozi wa Sudan Nchini, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo mafupi, hususani matumizi ya maji ya Mto Nile.
Waziri Maghembe alisema Tanzania...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua mkutano huo. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaban Lila (kulia) na  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji mstaafu Thomas Mihayo wakifuatilia mkutano huo. …

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Rais wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Madini afanya mkutano na Wahariri wa Vyombo vya habari

  Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo, akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari Nchini (hawapo pichani), leo katika Ofisi ndogo za Wizara hiyo Jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano mkubwa Wa Madini utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania kuanzia Februari 21 hadi 23, 2020. Baadhi ya Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Mhe.Stanslaus Nyongo wakati wa Mkutano wake na wahariri wa vyombo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MWIGULU AVITAKA VYOMBO VYA SHERIA NCHINI KUTOTUMIKA VIBAYA


 Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Mwigulu Nchemba akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua kikao cha kamati za kuratibu msaada wa kisheria na ukaguzi wa watoa huduma na msaada wa kisheria mkoani Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela. Shehe wa Mkoa wa Tanga Juma Luwuchu akizungumza wakati wa kikao hicho. Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani