WAZIRI MAGHEMBE ATOA MSIMAMO WA TANZANIA KUHUSU MTO NILE
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akiwa na mgeni wake, Balozi, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Kuratibu Programu Ya Maji, Joseph Kakunda.
Waziri wa Maji akiagana na mgeni wake, Balozi, Dk. Yassir Mohammed Ali.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe jana alikutana na Balozi wa Sudan Nchini, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo mafupi, hususani matumizi ya maji ya Mto Nile.
Waziri Maghembe alisema Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Jul
Waziri Benard Membe aitetea Misri maji ya Mto Nile
11 years ago
Mwananchi22 May
Polisi yalalamikia ratiba Mto Nile
11 years ago
Mwananchi11 May
Mbeya City ndani ya Mto Nile
11 years ago
Mwananchi26 May
Mwambusi atamba michuano ya Mto Nile
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Mto Nile:Mazungumzo yatatupa suluhu
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Utata wagubika bwawa mto Nile
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Mto Nile;Misri Ethiopia na Sudan zapatana
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Ongezeko la watu latishia matumizi ya Mto Nile
11 years ago
Habarileo27 May
‘Misri ina haki kupendelewa maji ya Mto Nile’
TANZANIA imesema nchi ya Misri ina haki ya kupata upendeleo wa maji mengi kuliko nchi nyingine tisa za Bonde la Mto Nile kwa kutaka nchi nyingine kujitafakari iwapo ni sahihi kuwa na Mkataba unaoruhusu nchi zote kutumia maji hayo kwa usawa.