Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Benard Membe aitetea Misri maji ya Mto Nile

>Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe ameendelea kuweka msimamo kuwa Tanzania itaendelea kuitetea Misri kuhusu matumizi ya maji ya Mto Nile.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

‘Misri ina haki kupendelewa maji ya Mto Nile’

TANZANIA imesema nchi ya Misri ina haki ya kupata upendeleo wa maji mengi kuliko nchi nyingine tisa za Bonde la Mto Nile kwa kutaka nchi nyingine kujitafakari iwapo ni sahihi kuwa na Mkataba unaoruhusu nchi zote kutumia maji hayo kwa usawa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mto Nile;Misri Ethiopia na Sudan zapatana

Misri, Ethiopia na Sudan zimetia saini mkataba utakaoainisha matumizi ya maji ya mto Nile.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGHEMBE ATOA MSIMAMO WA TANZANIA KUHUSU MTO NILE

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akiwa na mgeni wake, Balozi, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Kuratibu Programu Ya Maji, Joseph Kakunda. Waziri wa Maji akiagana na mgeni wake, Balozi, Dk. Yassir Mohammed Ali.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe jana alikutana na Balozi wa Sudan Nchini, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo mafupi, hususani matumizi ya maji ya Mto Nile.
Waziri Maghembe alisema Tanzania...

 

5 years ago

CCM Blog

GARI LATUMBUKIA MTO WAMI, DEREVA BADO YUPO CHINI YA MAJI. MTO UNA VIBOKO NA MAMBA (+ VIDEO)


Kutoka Daraja la Wami, zimetokea ajali mbili tofauti ambazo hazijapishana sana, moja ni ya Lori ambalo lilifeli breki na kutumbukia Mtoni na bado halijatolewa huku ikiaminika kuwa Dereva bado yupo ndani ya Lori hilo chini ya maji tangu Ijumaa June 05, 2020 ajali ilipotokea, wenzake wawili tayari wameokolewa .Wakati Watu wakiwa wamejaa kushuhudia ajali hiyo ghafla Lori jingine pia likafeli breki na kuua Watu wawili (Mama na Mtoto) kisha kuyazoa magari zaidi ya sita ambayo yote yameharibika...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA MISRI NA SUDAN HAPA NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Balozi wa Misri hapa nchini, Mhe. Hossam Moharram alipofika Wizarani kwa mazungumzo kuhusu kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizi mbili.Mhe. Membe akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake na Balozi Moharram. Wengine pichani ni Maafisa kutoka Ubalozi wa Misri. ......Waziri Membe na Balozi wa Sudan Waziri Membe akisalimiana na Balozi wa Sudan hapa nchini, Mhe. Dkt. Yassir Mohamed Ali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Utata wagubika bwawa mto Nile

Ujenzi wa bwawa kubwa na kiwanda cha Nishati katika mto Nile umeingia katika mzozo wa kidiplomasia.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City ndani ya Mto Nile

Timu ya Mbeya City imeteuliwa kushiriki mashindano ya Shirikisho la Baraza la Vyama Vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) yajulikanayo kama Kombe la Mto Nile (Cecafa Nile Basin) yatakayofanyika nchini Sudan kuanzia Mei 22 hadi Juni 4 mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi atamba michuano ya Mto Nile

Wakati timu ya Mbeya City ikiicharaza Academie Tchite ya Burundi kwa mabao 3-2 katika michuano ya Kombe la Mto Nile juzi, nchini Sudan, kocha wa timu hiyo, Juma Mwambusi, amesema huo ni mwanzo mzuri kwao wa kuhakikisha wanaingia fainali.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yalalamikia ratiba Mto Nile

Kocha mkuu wa Polisi Zanzibar, Ally Suleiman Mtuli amelalamikia ratiba ya michuano ya kimataifa ya kwanza ya Bonde la Mto Nile akisema ratiba hiyo haitoi muda wa kupumzika kwa wachezaji wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani