Mbeya City ndani ya Mto Nile
Timu ya Mbeya City imeteuliwa kushiriki mashindano ya Shirikisho la Baraza la Vyama Vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) yajulikanayo kama Kombe la Mto Nile (Cecafa Nile Basin) yatakayofanyika nchini Sudan kuanzia Mei 22 hadi Juni 4 mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Kila la heri Mbeya City Cecafa Nile Basin
MICHUANO mipya ya soka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ijulikanayo kama ‘Cecafa Nile Basin’ inaingia hatua ya robo fainali ya kwanza leo kwa mechi mbili, kabla ya kesho pia...
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Mto Nile:Mazungumzo yatatupa suluhu
11 years ago
Mwananchi26 May
Mwambusi atamba michuano ya Mto Nile
11 years ago
Mwananchi22 May
Polisi yalalamikia ratiba Mto Nile
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Utata wagubika bwawa mto Nile
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Ongezeko la watu latishia matumizi ya Mto Nile
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Mto Nile;Misri Ethiopia na Sudan zapatana
11 years ago
Habarileo27 May
‘Misri ina haki kupendelewa maji ya Mto Nile’
TANZANIA imesema nchi ya Misri ina haki ya kupata upendeleo wa maji mengi kuliko nchi nyingine tisa za Bonde la Mto Nile kwa kutaka nchi nyingine kujitafakari iwapo ni sahihi kuwa na Mkataba unaoruhusu nchi zote kutumia maji hayo kwa usawa.
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Pinda afungua mkutano wa mawaziri wa nchi za Bonde la Mto Nile
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa nchi za bonde la mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye Kituo Cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maji,...