Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE ALIPOFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII JIJINI DAR

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII JIJINI DAR LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi mbali mbali kukata utepe ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.Sehemu ya Wageni kutoka...

 

9 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YAFANA SANA JIJINI MONTREAL, CANADA

Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Utalii ambayo yamedumu kwa siku tatu mfululizo katika jiji la Montreal nchini Canada yafana sana. Ubalozi wa Tanzania, Ottawa nchini Canada ulikuwa ni mmoja wa washiriki kati ya washiriki waonyeshaji 400 walioalikwa na sekta ya utalii ambayo ndiyo muandaaji rasmi wa maonesho hayo.
Maonyesho hayo ambayo yamefanyika katika mahali maarufu  la “la Place Bonaventure” katika jiji la hilo, ambalo liko upande wa Mashariki mwa Canada, eneo ambalo wengi wa wakazi wake...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa hutuba  mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KUKUZA BIASHARA YA UTALII YA SWAHILI (SITE) JIJINI DAR.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi maonesho ya Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Meneja waFast Jet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete atembelea maonyesho ya TANTRADE jijini Dar

1

Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayofanyika kila mwaka kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam wakati alipotembelea na kukagua mabanda ya makampuni mbalimbali yanayoshiriki kwenye maonyesho hayo.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE- DAR ES SALAAM.

2

Rais Jakaya Kikwete akielekea ofisini kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Malisili na Utalii azindua maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili International Tourism Expo (SITE)

2a

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akipongezana na Balozi Charles Sanga Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB mara baada ya kuzindua rasmi SITE ya Maonyesho ya Kimataifa Utalii ya Tanzania yanayojulikana kama Swahili International Tourism Expo (SITE) kwenye hoeli ya Serena Mwisho ni mwa wiki, Maonyesho hayo yatakayohusisha kampuni binafsi, taasisi za kiserikali kama Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na washirika wengine katika sekta hiyo...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AZINDUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (SITE)‏

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Razalo Nyalandu akizungumza katika uzinduzi huo wakati alipokuwa akisoma hotuba yake. Wageni waalikwa mbalimbali wakiangalia jinsi mabanda yatakayotumiwa na washiriki wa maonyesho…

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA CHUO CHA UTALII TANZANIA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania,  Rosada Msoma akizungumza na wanafunzi na wakufunzi wa chuo cha Utalii(hawapo pichani) katika maonyesho ya utalii yaliyofanyika katika chuo hicho kampasi ya Bustani leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Fedha wa chuo cha utalii Tanzania Neema Kusiga, (watano katikati),Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania,  Rosada Msoma akiwa na wakufunzi wa Chuo cha Utalii Tanzania kutoka kampasi tatu za chuo hicho iliyofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani