Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wizara ya MALIASILI NA UTALII YAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII KWA SOKO LA MAREKANI YAENDELEA LOS ANGELES

Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi. Devota Mdachi akiongea katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko la Marekani katika Hoteli ya Four Seasons jijini Las Vegas.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akiwa pamoja na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya utalii nchini kwa soko la Marekani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa kutangaza vivutio vya utalii

KLABU ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro (MECKI) imeiomba serikali mkoani humo, kusaidia kufanikisha mradi wa utangazaji wa vivutio vya utalii mkoani humo, ambao utagharimu zaidi ya Sh milioni 145.

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

IMG-20140704-WA0013Waziri wa Maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu akifungua rasmi mkutano wa 30 wa asasi ya wamiliki wa makampuni ya kusafirisha watalii TATO jijini Arusha hivi karibuni. IMG-20140704-WA0009Wadau mbalimbali wa utalii wakisikiliza mada kwa umakiniIMG-20140704-WA0004MAKAMPUNI ya kitalii hapa nchii yametakiwa kuutangaza kwa kiasi kikubwa utalii wa vivutio vyetu hapa nchini  ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi ili kuwapa wanachi moyo wa kizalendo katika kujali vivutio walivyo navyo. Hayo yalisemwa juzi jijini Arusha na waziri...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vivutio vya utalii Rungwe havitangazwi

WILAYA ya Rungwe mkoani Mbeya imeshindwa kupaa kiuchumi kwa kutovitangaza vivutio vya utalii vilivyopo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa Christian and Gospel Ministry (CGM) wilayani humo, Watson...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Tangazeni vivutio vya utalii- Nyalandu


NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI za utalii nchini, zimetakiwa kutangaza vivutio vya utalii, ndani na nje ya nchi.
Waziri  wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alisema hayo  jijini Arusha,  wakati akifungua mkutano mkuu wa Wamiliki wa Kampuni ya Kusafirisha Watalii (TATO).
Alisema kazi ya kutangaza utalii inapaswa kupewa kipaumbele katika kampuni hizo.
Alizitaka kampuni hizo kuhakikisa zinaongeza kiasi kikubwa cha watalii wanaoingia  nchini, ili kuiingizia serikali fedha nyingi za kigeni na kuachana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania tembeleeni vivutio vya utalii’

WATANZANIA wamehimizwa kutembelea vivutio vya utalii nchini kwa ajili ya kujifunza, kutangaza utalii wa ndani na kuongeza pato la taifa. Ushauri huo ulitolewa juzi na Ofisa Utalii wa Hifadhi ya...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maliasili nchini leo tarehe 26 Novemba 2015 katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa Wizara zenye muelekeo wa Maliasili, Sekta binafsi, NGOs, Waandishi wa habari na wadau wengine. Mada mbalimbali kutoka katika Sekta ndogo za Wanyamapori, Misitu, Utalii, Mambo ya Kale na Uvuvi...

 

10 years ago

Vijimambo

NYALANDU AZIDI KUFANYA MAKUBWA MALIASILI NA UTALII, MAREKANI NA UJERUMANI WAIPA TANZANIA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI MBUGA YA SELOUS LEO

Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokea vifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous leoMaelezo kuhusu masalia hayo ya injini hiyo ya moshi iliyoachwa na wajerumani Benson KibongeWaziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani