MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI

Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, AbdallaMadebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege, akibebwa na wananchi baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja, mkoani Lindi leo. Pamoja na Katibu huyo wanachama wengine 38 walihamia CCM.
Wananchi akishangilia wakati wa mkutano wa kampeni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MIKUMBI,NDARO NA MBANJA HUKO LINDI MJINI KWA AJILI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI LINDI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPL
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MIKUMBI, NDARO NA MBANJA HUKO LINDI MJINI KWA AJILI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI LINDI
10 years ago
Vijimambo09 Oct
MAMA SALMA KIKWETE KWENYE MIKUTANO YA KAMPENI MCHINGA NA LINDI MJINI.


10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AZURU LINDI/ AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA LINDI MANISPAA, AKABIDHI BATI 100 NA VYOMBO VYA BENDI SHULE YA SEKONDARI ANGAZA
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI LINDI MJINI, NACHINGWEA NA LIWALE
10 years ago
Michuzi.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATA ZA NACHINGWEA NA MINGOYO MKOANI LINDI
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPL
MAMA SALMA KIKWETE AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATA ZA NACHINGWEA NA MINGOYO MKOANI LINDI
10 years ago
Michuzi.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE AFANYA KAMPENI KATIKA KATA ZA CHIKONJI NA MINGOYO HUKO LINDI MJINI
.jpg)
.jpg)
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AFANYA KAMPENI KATIKA KATA ZA MTANDI NA MWENGE HUKO LINDI MJINI