Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ina haki ya ‘kuipigia debe’ Katiba mpya

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy MwalimuSERIKALI imesema kuwa ina haki ya kuwahamasisha wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ndio iliyohusika kuiandaa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Wasanii kuipigia debe CCM na tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015.

Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda). Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni Wellu Sengo (Matilda).Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere wakiwa katika mkutano huo. Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kulia ni Yobnesh Yusuph (Batuli) na kushoto ni Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

11 years ago

GPL

UMUHIMU WA KUPATA KATIBA MPYA ILIYOPO INA MIANYA YA RUSHWA

NIMSHUKURU Mungu kwa kutuweka hai leo, hakika yeye ni mwema.
Baada ya kusema hayo niseme kwamba leo nitazungumzia umuhimu wa kuwa na katiba mpya na kuachana na hii tuliyonayo ya mwaka 1977 ambayo hakika ina upungufu mwingi na hasa kuhusiana na deni la taifa. Hivi sasa deni la taifa limefikia shilingi trilioni 30.6, na ukisoma Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 utagundua kuwa imechangia kwa kiasi fulani kwa kutolipa Bunge la...

 

5 years ago

Michuzi

“Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na Watoto”-BALOZI SEIF

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akipokea kitabu
kinachohusu masuala ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa Mwenyekiti na
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mhina,
Walipomtembelea Ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu
Mathew Mhina, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti, wa Tume ya Haki za Biadamu
na Utawala Bora, Mohamedi Khamis Hamadi, wakati wa ziara yake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahabusu, wafungwa hawana haki Katiba mpya?

WATANZANIA tupo kwenye kipindi kigumu kihistoria kwa sababu tunatafuta Katiba mpya itakayotuongoza wote. Katiba tunayoitaka ni ile inayoeleza ni vipi Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa, makundi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa wasipore haki ya wananchi katiba mpya

INAFAHAMIKA na kukubalika popote duniani kuwa katiba ni waraka wa kisiasa. Nadhani wanasiasa tangu awali walifanya njama na hila iwe hivyo kama njia ya kujiwekea ulinzi na kujipatia nafasi kubwa...

 

11 years ago

Mtanzania

Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

NA DEBORA SANJA, DODOMA

KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.

Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Someni Katiba kabla ya kuipigia kura’

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki amesema Serikali inachapisha nakala za Katiba Pendekezwa za kutosha na kuwagawia wananchi ili waweze kuisoma kabla ya kuipigia kura Aprili 30, 2015.

 

11 years ago

Mwananchi

Lipumba alilia haki za binadamu kwenye katiba mpya

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Katiba amesema Tanzania imejijengea desturi ya kutesa binadamu hata kwa haki zinazolindwa na sheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani