Wanasiasa wasipore haki ya wananchi katiba mpya
INAFAHAMIKA na kukubalika popote duniani kuwa katiba ni waraka wa kisiasa. Nadhani wanasiasa tangu awali walifanya njama na hila iwe hivyo kama njia ya kujiwekea ulinzi na kujipatia nafasi kubwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu

Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...
11 years ago
Michuzi
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya

Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.
Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Mahabusu, wafungwa hawana haki Katiba mpya?
WATANZANIA tupo kwenye kipindi kigumu kihistoria kwa sababu tunatafuta Katiba mpya itakayotuongoza wote. Katiba tunayoitaka ni ile inayoeleza ni vipi Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa, makundi...
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.
NA DEBORA SANJA, DODOMA
KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.
Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...
10 years ago
Habarileo25 Mar
Serikali ina haki ya ‘kuipigia debe’ Katiba mpya
SERIKALI imesema kuwa ina haki ya kuwahamasisha wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ndio iliyohusika kuiandaa.
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Lipumba alilia haki za binadamu kwenye katiba mpya
11 years ago
Dewji Blog29 Aug
Viongozi, wanaharakati wataka Katiba Mpya imtambue mtoto na haki zake

Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika yanayofanya kazi na Watoto Tanzania ambaye pia ni Mratibu Miradi, Kituo cha Watoto wa Mtaani cha Dogodogo Kigogo (Dogodogo Centre Street Children Trust), Sabas Masawe.
MCHAKATO wa kujadili na kuandika Katiba Mpya unaendelea bungeni mjini Dodoma, licha ya kuwepo kwa mvutano na mgawanyiko wa makundi ya wabunge wa bunge maalumu wanaojadili Rasimu ya Pili iliyowasilishwa kwao. Wakati hayo yakiendelea viongozi, wanaharakati na wadau wa watoto wanapendekeza...
11 years ago
GPL
VIONGOZI, WANAHARAKATI WATAKA KATIBA MPYA IMTAMBUE MTOTO NA HAKI ZAKE
11 years ago
Mtanzania25 Aug
Wananchi watengwa Katiba Mpya

Bunge
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
NI siku ya 14 sasa tangu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walipokutana kwa awamu ya pili Agosti mwaka huu, ambapo pamoja na mambo mengine walijadili mabadiliko ya kanuni za Bunge hilo kabla ya kuanza kupitia sura 15 za Rasimu ya Katiba.
Hadi sasa baadhi ya kamati zimeshamaliza kazi ya kupitia sura zote hizo ambazo zinakamilisha sura 17 za rasimu hiyo, ikiwa ni baada ya sura ya kwanza na ile ya sita kujadiliwa kwenye awamu ya kwanza ya Bunge hilo.
Wakati...