Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi watengwa Katiba Mpya

Bunge

Bunge

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

NI siku ya 14 sasa tangu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walipokutana kwa awamu ya pili Agosti mwaka huu, ambapo pamoja na mambo mengine walijadili mabadiliko ya kanuni za Bunge hilo kabla ya kuanza kupitia sura 15 za Rasimu ya Katiba.

Hadi sasa baadhi ya kamati zimeshamaliza kazi ya kupitia sura zote hizo ambazo zinakamilisha sura 17 za rasimu hiyo, ikiwa ni baada ya sura ya kwanza na ile ya sita kujadiliwa kwenye awamu ya kwanza ya Bunge hilo.

Wakati...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

'Wananchi isomeni Katiba mpya'

MWENYEKITI Taifa wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyemaliza muda wake, John Heche amewahimiza wananchi kusoma Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba hivi karibuni kabla ya kupiga kura ili wafahamu kilichomo ndani ya Katiba hiyo kuliko kufuata mkumbo na ushabiki wa vyama vya siasa.

 

10 years ago

Habarileo

Cheyo: Wananchi msidanganywe Katiba Mpya

John CheyoMJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo amewataka Watanzania kutodanganywa kuhusu mchakato mzima wa kusaka Katiba Mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi ndio wenye uhalali wa katiba mpya

KWA muda mrefu baadhi yetu tulikuwa tukipaza sauti zetu kulilia katiba mpya ambayo tunaamini itasaidia kukabiliana na baadhi ya changamoto zinazoonekana hivi sasa, hasa kutokana na tuliyonayo imedumu kwa kipindi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa wasipore haki ya wananchi katiba mpya

INAFAHAMIKA na kukubalika popote duniani kuwa katiba ni waraka wa kisiasa. Nadhani wanasiasa tangu awali walifanya njama na hila iwe hivyo kama njia ya kujiwekea ulinzi na kujipatia nafasi kubwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya tusingoje wananchi wachome Bunge

MWEZI Oktoba unaingia kwenye historia kama mwezi uliofufua matumaini ya kupata haki kwa nchi za kiafrika kusini mwa Jangwa Sahara. Mapinduzi ya umma yaliyomlazimisha imla wa zamani wa Burkina Faso,...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuache usanii, Katiba Mpya mali ya wananchi

Desemba 30 mwaka jana Rais Jakaya Kikwete alipokea Rasimu ya pili ya Katiba baada ya kazi ya kuchambua maoni ya wananchi kupitia mabaraza ya wilaya ya Katiba kumalizika.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Ukomavu wa kisiasa’ kuwapa wananchi #Katiba Mpya [VIDEO]

Watanzania wametakiwa kutokuwa na hofu kuhusu mchakato wa Katiba Mpya unaoendelea hivi sasa Bungeni Dodoma, kwani Katiba hiyo itapatikana.

 

10 years ago

Vijimambo

Mzindakaya: Waacheni wananchi waamue wenyewe Katiba mpya

Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya, amewashauri wanaokusudia kuandamana nchi nzima kutopoteza nguvu na muda kwa kuwa uamuzi wote kuhusu Katiba mpya, utaamuliwa na wananchi kupitia kura ya maoni.

Dk. Mzindakaya, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), alikuwa akizungumzia maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba lililohitimisha shughuli zake mjini Dodoma wiki iliyopita.

"Waliosema Katiba itokane na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani