Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuache usanii, Katiba Mpya mali ya wananchi

Desemba 30 mwaka jana Rais Jakaya Kikwete alipokea Rasimu ya pili ya Katiba baada ya kazi ya kuchambua maoni ya wananchi kupitia mabaraza ya wilaya ya Katiba kumalizika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana tuache uvivu wa fikra tujadili katiba mpya!

KWA bahati mbaya sana, takwimu za serikali zinaonyesha kwamba vijana ndio kundi kubwa la watu wa Tanzania! Pamoja na ukweli huu, kuna bahati mbaya nyingine ya hatari sana kwa vijana...

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba ni mali ya wananchi, waielewe - 3

Tunaendelea na mfululizo wa makala haya kuhusu Katiba Inayopendekezwa baada ya kumaliza sehemu ya pili wiki iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba ni mali ya wananchi, waielewe

Historia ya Katiba ya Waingereza ndiyo chimbuko la michakato ya Katiba maeneo mengi ulimwenguni, na hasa kwa makoloni ya zamani ya Kiingereza, Tanzania ikiwamo. Ndiyo historia tuliyorithi baada ya uhuru toka mikononi mwa wakoloni wa Tanganyika ya wakati ule.

 

10 years ago

Vijimambo

USANII SIYO KUIGIZA AU KUIMBA HATA HUU NI USANII PIA

Pitia  hii labda na wewe utaipenda jamaa alituliza kichwa na kuibuka na hii apewe hongera yake kiroho safi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuache ushabiki mchakato wa katiba

KATIBA ni kila kitu katika kuhakikisha ufanisi wa kisiasa, kiuchumi, kielimu, kiuzalishaji, kiafya, kiutunzaji mazingira na mengine yote yanayohusu ndoto na matarajio ya wanajamii. Kwa mujibu wa Montesquieu (Cohler na...

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi watengwa Katiba Mpya

Bunge

Bunge

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

NI siku ya 14 sasa tangu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walipokutana kwa awamu ya pili Agosti mwaka huu, ambapo pamoja na mambo mengine walijadili mabadiliko ya kanuni za Bunge hilo kabla ya kuanza kupitia sura 15 za Rasimu ya Katiba.

Hadi sasa baadhi ya kamati zimeshamaliza kazi ya kupitia sura zote hizo ambazo zinakamilisha sura 17 za rasimu hiyo, ikiwa ni baada ya sura ya kwanza na ile ya sita kujadiliwa kwenye awamu ya kwanza ya Bunge hilo.

Wakati...

 

10 years ago

Habarileo

'Wananchi isomeni Katiba mpya'

MWENYEKITI Taifa wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyemaliza muda wake, John Heche amewahimiza wananchi kusoma Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba hivi karibuni kabla ya kupiga kura ili wafahamu kilichomo ndani ya Katiba hiyo kuliko kufuata mkumbo na ushabiki wa vyama vya siasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Raza: Tuache utoto tujadili Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mohamed Raza ametaka wajumbe wenzake kuheshimiana bila kujali wingi au uchache wa wajumbe kwenye makundi yao, kama kweli wana dhamira ya dhati ya kutunga Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Cheyo: Wananchi msidanganywe Katiba Mpya

John CheyoMJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo amewataka Watanzania kutodanganywa kuhusu mchakato mzima wa kusaka Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani