Raza: Tuache utoto tujadili Katiba
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mohamed Raza ametaka wajumbe wenzake kuheshimiana bila kujali wingi au uchache wa wajumbe kwenye makundi yao, kama kweli wana dhamira ya dhati ya kutunga Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Vijana tuache uvivu wa fikra tujadili katiba mpya!
KWA bahati mbaya sana, takwimu za serikali zinaonyesha kwamba vijana ndio kundi kubwa la watu wa Tanzania! Pamoja na ukweli huu, kuna bahati mbaya nyingine ya hatari sana kwa vijana...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Tujadili katiba mpya kwa heshima
HIVI sasa baada ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyo chini ya Jaji mstaafu, Joseph Warioba, kuwasilisha mapendekezo ya Katiba mpya yaliyotokana na maoni ya wananchi kutoka kila pembe ya...
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
‘Utoto’ Bunge la Katiba
UMBUMBUMBU wa wajumbe wengi wa Bunge Maalumu la Katiba kutoisoma na kuielewa vizuri Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013, umesababisha kwa asilimia kubwa Bunge hilo kushindwa kuanza vikao...
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Butiku: Kinachofanyika Bunge la Katiba ni utoto
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kitendo kinachoendelea sasa hivi katika Bunge la Katiba ni cha kitoto kutokana na ukweli kwamba katiba haiwezi kupatikana kwa kupitishwa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Tuache ushabiki mchakato wa katiba
KATIBA ni kila kitu katika kuhakikisha ufanisi wa kisiasa, kiuchumi, kielimu, kiuzalishaji, kiafya, kiutunzaji mazingira na mengine yote yanayohusu ndoto na matarajio ya wanajamii. Kwa mujibu wa Montesquieu (Cohler na...
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Tuache maslahi binafsi tutafute katiba ya nchi
MCHAKATO wa kuandika katiba mpya ya taifa letu umefika mahali pagumu. Ni pagumu kwa vile mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba hauonyeshi kutoa kile ambacho wananchi wanakisubiri kwa hamu sana....
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Tuache usanii, Katiba Mpya mali ya wananchi
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Tujadili matokeo kubandikwa vituoni
SEPTEMBA 17, 2015, nilisoma taarifa ya January Makamba kwenye gazeti la NIPASHE (uk. 03).
Joseph Magata
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Tusirudie makosa, tujadili matatizo ya Tanzania
JOTO la uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani linapoanza kupanda, tunaelekea kufanya makosa yaleyale ya miaka yote. Tunaanza kuwajadili watu na vyama vyao badala ya kuyajadili matatizo ya taifa letu. Swali...