Vijana tuache uvivu wa fikra tujadili katiba mpya!
KWA bahati mbaya sana, takwimu za serikali zinaonyesha kwamba vijana ndio kundi kubwa la watu wa Tanzania! Pamoja na ukweli huu, kuna bahati mbaya nyingine ya hatari sana kwa vijana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Raza: Tuache utoto tujadili Katiba
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Tujadili katiba mpya kwa heshima
HIVI sasa baada ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyo chini ya Jaji mstaafu, Joseph Warioba, kuwasilisha mapendekezo ya Katiba mpya yaliyotokana na maoni ya wananchi kutoka kila pembe ya...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Tuache usanii, Katiba Mpya mali ya wananchi
10 years ago
StarTV02 Nov
Watanzania watakiwa kuacha uvivu wa fikra
Watanzania wametakiwa kuacha tabia ya kutawaliwa na uvivu na ufinyu wa fikra za kimaendeleo zinazowasababishia baadhi ya watu kutojihusisha na masuala ya maendeleo na kuishia katika vijiwe wakidai hakuna maendeleo nchini.
Akizungumza katika ibada maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi salama Mchungaji John Masanyiwa amesema iwapo watanzania wanataka maendeleo ya kweli ni vyema wakajihamasisha katika shughuli za kimaendeleo zitakazowawezesha kupata fursa mbalimbali kwa viongozi...
11 years ago
Habarileo01 Nov
Vijana waweka nadhiri Katiba mpya
VIJANA wamekubaliana kutokupiga kura ya Katiba Inayopendekezwa kwa kutumia baadhi ya vifungu pamoja na kusoma Katiba hiyo bila kukubali kutafsiriwa na wanasiasa.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Tuache ushabiki mchakato wa katiba
KATIBA ni kila kitu katika kuhakikisha ufanisi wa kisiasa, kiuchumi, kielimu, kiuzalishaji, kiafya, kiutunzaji mazingira na mengine yote yanayohusu ndoto na matarajio ya wanajamii. Kwa mujibu wa Montesquieu (Cohler na...
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Tuache maslahi binafsi tutafute katiba ya nchi
MCHAKATO wa kuandika katiba mpya ya taifa letu umefika mahali pagumu. Ni pagumu kwa vile mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba hauonyeshi kutoa kile ambacho wananchi wanakisubiri kwa hamu sana....
5 years ago
Michuzi
SUA YAKABIDHIWA VITABU VYA KUAMSHA FIKRA ZA VIJANA


5 years ago
CCM Blog
SUA YAPOKEA VITABU VYA KUAMSHA FIKRA ZA VIJANA

