Tuache ushabiki mchakato wa katiba
KATIBA ni kila kitu katika kuhakikisha ufanisi wa kisiasa, kiuchumi, kielimu, kiuzalishaji, kiafya, kiutunzaji mazingira na mengine yote yanayohusu ndoto na matarajio ya wanajamii. Kwa mujibu wa Montesquieu (Cohler na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-mAr53L28UR0/VUOBSPD79PI/AAAAAAAAtBs/ZszPK3SJ_xg/s72-c/zari%2Bwetu.jpg)
Tuache ushabiki Jamani Huyu Dada Tumpe Hongera yake... Ubunifu Wake Nimeupenda..Mitandao ya Kijamii leo ni Zari Zari
![](http://1.bp.blogspot.com/-mAr53L28UR0/VUOBSPD79PI/AAAAAAAAtBs/ZszPK3SJ_xg/s640/zari%2Bwetu.jpg)
Zari "Watanzania Wamenikaribisha kama ni mtu wao na sasa mimi ni wao hivyo ni yote ni heri kabisa"
Zari Tlale aka The Bosslady amesema upendo anaoupata baada ya kuanzisha uhusiano na Diamond Platnumz, umemfanya agundue kuwa watanzania wamemkubali kama mtu wao.
Akiongea na Clouds FM/TV asubuhi hii, Zari amesema tangu ameanza kuja Tanzania amekuwa akipokea upendo zaidi kutoka kwa watanzania kiasi ambacho kimemfanya ajisikie kama yupo kwao.“Siwezi hata kulalamika, watu wa Tanzania ni wakarimu...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Raza: Tuache utoto tujadili Katiba
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Tuache usanii, Katiba Mpya mali ya wananchi
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Tuache maslahi binafsi tutafute katiba ya nchi
MCHAKATO wa kuandika katiba mpya ya taifa letu umefika mahali pagumu. Ni pagumu kwa vile mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba hauonyeshi kutoa kile ambacho wananchi wanakisubiri kwa hamu sana....
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Vijana tuache uvivu wa fikra tujadili katiba mpya!
KWA bahati mbaya sana, takwimu za serikali zinaonyesha kwamba vijana ndio kundi kubwa la watu wa Tanzania! Pamoja na ukweli huu, kuna bahati mbaya nyingine ya hatari sana kwa vijana...
11 years ago
Habarileo10 Aug
Shibuda aonya ushabiki wa wanahabari Katiba mpya
MB U N G E wa Maswa M a g h a r i b i , John Shibuda ( C h a d e m a ) , ameviasa vyombo vya habari nchini kuwa makini na aina ya uandishi wa habari za ushabiki ambazo hazijengi nchi, bali zinachochea na kuongeza chuki baina ya makundi yanayokinzana bungeni, hivyo kutofikia maridhiano ya kupata Katiba mpya.
11 years ago
Habarileo04 Apr
UVCCM Kagera yakemea ushabiki Bunge la Katiba
UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Kagera, umewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuacha ushabiki wa vyama ili kufanikisha mchakato wa kupata katiba mpya.
10 years ago
Mwananchi22 Feb
MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba
11 years ago
Michuzi28 Jul
SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Sheikh wa msikiti wa Hidaya katika manispaa ya ...