SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Mmoja kati ya waumini wa dini ya Kiislam wa madhehebu ya Answaar Sunna iliyofanyika katika uwanja wa Mwembetogwa akitoka kuswali Swala ys Idd leo katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa
Sheikh Dhulkifilo Omari kulia akiwa na baadhi ya waumini mara baada ya ibada ya Idd el Fitr leo katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa..............................................................................Na matukiodaimablog
Sheikh wa msikiti wa Hidaya katika manispaa ya ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Mchakato wa Wajumbe wa Bunge la Katiba waanza
11 years ago
Habarileo26 Jul
Aonya wanaokwamisha mchakato wa katiba
KIONGOZI wa mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kasanda amewataka wananchi kuwa makini na watu wanaotumia vibaya mchakato mpya wa Katiba ili kuepuka nchi kuingia kwenye vurugu huku akisisitiza Katiba isiwe chanzo cha kuvunjika kwa amani ya nchi.
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0528.jpg?width=650)
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi26 Sep
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba
![Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/m8cdBlx8iECl07lgecM4ereL6z_GbOh3tUadh62rn422chXgPsPTnJHdcv-x1j1MxWBmgSOvMIDVuzErtbHqt1mSo93mbA_UpwfgTJ76vkNQlCJekyo=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0134.jpg)
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/Qh13ySPsV1yD99prfBkyxntjJa03R9Yw8Qlnu3rxYw5IJd4RTvkGetB-ckBG38daGLR0Gv9VcYWSzA-4tviSK0dxCp7LVSV5Ye1r3cIUkK_1qZJ3m4um=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_01911.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Mtandao wa wanawake na katiba wawapongeza wajumbe wa Bunge la Katiba!
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi na wajumbe wengine wa mtandao wa wanawake na Katiba.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.
![Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_01441.jpg)
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
![Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_01461.jpg)
Baadhi ya waandishi wa habari...
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Mkutano wa kuwanoa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wanamtandao wa Wanawake na Katiba na TAMWA wamalizika jijini Dar
Usu Mallya Mwanamtandao wa Ulingo wa Katiba na wanawake ambaye alikuwa ndiye mwezeshaji wa Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa siku mbili akiendelea kutoa mwongozo wa mkutano huo.
Doreen E. Maro kutoka TAMPRODA ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha Wafugaji Akileta Mrejesho wa walichokuwa wakikijadili katika Kundi lao juu ya mapendekezo ya kuimarisha Masuala muhimu ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya.
Dkt. Macca A. Mbalwa, Mkurugenzi wa Giyedo Tanzania akiwa anatoa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Ujumbe kwa wajumbe wa Bunge la Katiba
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba keshokutwa watakutana mjini Dodoma kwa ajili ya kuanza kwa Bunge hilo ambalo linatarajiwa kudumu kwa takriban siku 70 au 90 kwa mujibu wa sheria...