Aonya wanaokwamisha mchakato wa katiba
KIONGOZI wa mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kasanda amewataka wananchi kuwa makini na watu wanaotumia vibaya mchakato mpya wa Katiba ili kuepuka nchi kuingia kwenye vurugu huku akisisitiza Katiba isiwe chanzo cha kuvunjika kwa amani ya nchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi28 Jul
SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Sheikh wa msikiti wa Hidaya katika manispaa ya ...
10 years ago
Mwananchi22 Feb
MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0362.jpg?width=650)
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAZUNGUMZIA MCHAKATO KATIBA MPYA
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/en/7/78/Chadema_bendera.jpg)
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Ngeleja aonya wabunge wa katiba
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, William Ngeleja, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba litakaloanza vikao vyake wiki ijayo wasiweke mbele masilahi ya vyama wanapoijadili rasimu...
11 years ago
Habarileo02 Mar
Pengo aonya Bunge la Katiba
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kwa mara ya kwanza amezungumzia Bunge Maalum la Katiba na kuwaonya Wajumbe wa Bunge hilo kutowagawa Watanzania wakati wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya.
10 years ago
Habarileo19 Mar
JK aonya wahujumu wa Katiba mpya
RAIS Jakaya Kikwete ameziagiza mamlaka za ulinzi na usalama kuhakikisha shughuli ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura, upigaji kura ya Katiba Inayopendekezwa unafanyika kwa amani na wasioitakia mema nchi wasibadilishe matukio hayo kuwa fujo na kuingiza nchi kwenye vurugu.
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Mjumbe aonya machafuko Bunge la Katiba
11 years ago
Habarileo20 Apr
Padri aonya wabunge kuhusu Katiba mpya
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kutokubali kuvurugwa na vyama vyao vya siasa, wanapoandaa mchakato wa Katiba mpya, kwani kwa kufanya hivyo wanavuruga amani.