Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tusirudie makosa, tujadili matatizo ya Tanzania

JOTO la uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwakani linapoanza kupanda, tunaelekea kufanya makosa yaleyale ya miaka yote. Tunaanza kuwajadili watu na vyama vyao badala ya kuyajadili matatizo ya taifa letu. Swali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Upepo wa Zitto umepita, tujadili matatizo ya nchi

KWA wiki nzima tunayoimaliza leo, mjadala mkubwa kila kona ulikuwa ni sakata la Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, kukimbilia mahakamani kunusuru uanachama wake ndani ya Chama cha Demokrasia na...

 

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO: Tujadili matatizo ya Taifa letu, siyo wagombea

Tunapoelekea Uchaguzi Mkuu ni muhimu kuachana na mijadala kuhusu watu na vyama vyao vya siasa, kasumba ya kuwaabudu watu na kufikiri kwamba kuna mtu mmoja mwenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika taifa letu, tuanze kujadili matatizo ya taifa letu. Tukiyajadili na kuyafahamu vizuri, pamoja tunaweza kufikiria ufumbuzi.

 

10 years ago

GPL

KUMBE MATATIZO YA TANZANIA YATAANZA KWISHA OKTOBA 25!!!

Rais wa Awamu ya Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere. Na Walusanga Ndaki KUMBE nchi hii ina wataalam kibao! Ina wataalam kibao wanaoweza kutatua matatizo lukuki ambayo yamewakosesha raha mamilioni ya watu wa nchi hii tangu ilivyopata uhuru Desemba 1, 1961 ambapo Zaidi ya asilimia 80 ya watu wake walikuwa hawajazaliwa! Mfano mzuri wa watu hao ni wale waliotangaza nia ya kugombea urais kutoka Chama...

 

9 years ago

Mwananchi

Matatizo sugu ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Ligi Kuu Tanzania Bara hivi sasasa imesimama huku Azam FC ikiwa kileleni ikifuatiwa kwa ukaribu na Yanga wakati timu za African Sports na JKT Ruvu zikining’inia mkiani mwa ligi hiyo.

 

9 years ago

Vijimambo

Unadhani nini kifanyike kutatua matatizo ya walimu Tanzania?


Mbunge sharobaro kutoka Kenya Mike Mbuvi Sonko na Mwenzake Moses Wetang'ula, wamesema wako tayari wakatwe mishahara yao ili serikali iweze kulipa mishahara ya walimu wanayodai.
Unadhani nini kifanyike kutatua matatizo ya walimu Tanzania?

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa riadha Tanzania wakubali makosa

Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeshindwa kupeleka wanamichezo kwenye mashindano ya Afrika ya riadha yaliyomalizika wiki iliyopita jijini Marrakech, Morocco na kushirikisha wanariadha 600 kutoka mataifa 47.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tujadili matokeo kubandikwa vituoni

SEPTEMBA 17, 2015, nilisoma taarifa ya January Makamba kwenye gazeti la NIPASHE (uk. 03).

Joseph Magata

 

11 years ago

Mwananchi

Raza: Tuache utoto tujadili Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mohamed Raza ametaka wajumbe wenzake kuheshimiana bila kujali wingi au uchache wa wajumbe kwenye makundi yao, kama kweli wana dhamira ya dhati ya kutunga Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani