Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahabusu, wafungwa hawana haki Katiba mpya?

WATANZANIA tupo kwenye kipindi kigumu kihistoria kwa sababu tunatafuta Katiba mpya itakayotuongoza wote. Katiba tunayoitaka ni ile inayoeleza ni vipi Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa, makundi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LASITISHA KUTEMBELEWA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU GEREZANI, MAHABUSU WAPYA KUPOKELEWA KWA KUHAKIKI AFYA ZAO

Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiMAHABUSU wapya kupokelewa Gerezani mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya zao hii ni kufuatia kwa kuripotiwa kwa uwepo wa ugonjwa wa Corona (Covid-19) nchini.
Akizungumza na MICHUZI BLOG, Msemaji wa jeshi la magereza SSP. Amina Kavirondo amesema kuwa baada ya kupimwa mahabusu wapya na kujiridhisha kuwa wako salama kwa maana hata polisi nao watakuwa wamechukuwa hatua kwa mahabusu hao.
"Na sisi watakapofika kwenye himaya ya kwetu tutachukua hatua ya kuhakikisha...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

10 years ago

GPL

WAFUNGWA, MAHABUSU WASHANGILIA KUPEWA MAGAZETI YA GLOBAL

Wafungwa na mahabusu wa Morogoro wakifurahia baada ya kupewa Gazeti la Championi Jumatano na Risasi Mchanganyiko, Bondia Francis Cheka (kulia).…

 

5 years ago

Michuzi

Wanawake Njombe wawapiga jeki mahabusu na wafungwa

Na Amiri kilagalila,Njombe Wakati baadhi ya wanawake wakiungana mkoani Njombe kuadhimisha siku ya wanawake duniani inayotarajiwa kufikia kilele chake hapo machi 8 mwaka huu,wananchi wametakiwa kuacha tabia ya kukataa kujitokeza kutoa ushahidi mahakamani ili kukamilisha upelelezi utakaosaidia kupunguza msongamano wa mahabusu na wafungwa gerezani. Kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya Njombe katibu tawala wilaya bwana Emmanuel George baada ya kufika katika gereza la wilaya ya Njombe (Mpechi) na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa wasipore haki ya wananchi katiba mpya

INAFAHAMIKA na kukubalika popote duniani kuwa katiba ni waraka wa kisiasa. Nadhani wanasiasa tangu awali walifanya njama na hila iwe hivyo kama njia ya kujiwekea ulinzi na kujipatia nafasi kubwa...

 

11 years ago

Mtanzania

Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

NA DEBORA SANJA, DODOMA

KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.

Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali ina haki ya ‘kuipigia debe’ Katiba mpya

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy MwalimuSERIKALI imesema kuwa ina haki ya kuwahamasisha wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ndio iliyohusika kuiandaa.

 

11 years ago

Mwananchi

Lipumba alilia haki za binadamu kwenye katiba mpya

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Katiba amesema Tanzania imejijengea desturi ya kutesa binadamu hata kwa haki zinazolindwa na sheria.

 

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE: SERIKALI IPO KATIKA MCHAKATO KUHAKIKISHA MAHABUSU NCHINI WANAFANYA KAZI MAGEREZANI KAMA WAFUNGWA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akitoka Gereza Kuu Ukonga, baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea Magereza ya Mkoa wa Dar es Salaam, leo. Akizungumza na Maafisa na Askari wa Gereza la Segerea, Ukonga na Keko, Simbachawene alisema Serikali ipo katika mchakato wa kuhakikisha mahabusu nao wanafanya kazi kama ilivyokuwa kwa wafungwa ili kuwezesha Jeshi la Magereza kujitegemea kwa chakula. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es salaam, ACP. Solomon...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani