Viongozi, wanaharakati wataka Katiba Mpya imtambue mtoto na haki zake
Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika yanayofanya kazi na Watoto Tanzania ambaye pia ni Mratibu Miradi, Kituo cha Watoto wa Mtaani cha Dogodogo Kigogo (Dogodogo Centre Street Children Trust), Sabas Masawe.
MCHAKATO wa kujadili na kuandika Katiba Mpya unaendelea bungeni mjini Dodoma, licha ya kuwepo kwa mvutano na mgawanyiko wa makundi ya wabunge wa bunge maalumu wanaojadili Rasimu ya Pili iliyowasilishwa kwao. Wakati hayo yakiendelea viongozi, wanaharakati na wadau wa watoto wanapendekeza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/Mwenyekiti-wa-Mtandao-wa-Mashirika-yanayofanya-kazi-na-Watoto-Tanzania-ambaye-pia-ni-Mratibu-Miradi-Kituo-cha-Watoto-wa-Mtaani-cha-Dogodogo-Kigogo-Dogodogo-Centre-Street-Children-Trust-Sabas-Masawe..jpg)
VIONGOZI, WANAHARAKATI WATAKA KATIBA MPYA IMTAMBUE MTOTO NA HAKI ZAKE
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya
![Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Kidawa-Hamid-Salehe.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.
NA DEBORA SANJA, DODOMA
KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.
Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...
11 years ago
Habarileo17 Mar
Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu
MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Wataka haki za binadamu ziingizwe kwenye Katiba
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Wataka Katiba itambue haki ya kuhifadhi maiti
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s72-c/PIX-13.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya
![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s1600/PIX-13.jpg)
Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.
Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...
11 years ago
Mwananchi18 May
Ukawa wataka kuungwa mkono Katiba Mpya
11 years ago
Habarileo24 Apr
Wajumbe wataka sura ya ardhi Katiba mpya
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametaka kuwepo kwa sura maalumu katika Katiba mpya, itakayozungumzia suala la ardhi pekee, ikiwa ni hatua ya kupunguza migogoro baina ya wakulima na wafugaji kwa kuweka mgawanyo sahihi wa rasilimali hiyo.
11 years ago
Habarileo10 Aug
ACT wataka Katiba mpya baada ya uchaguzi 2015
CHAMA kipya cha siasa cha ACT-Tanzania kimeelezea kusikitishwa na mvutano wa makundi ya kisiasa uliowakumba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na kushauri, ni vyema Bunge la Katiba likaahirishwa hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani kwa kutumia Katiba ya sasa.