Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka haki za binadamu ziingizwe kwenye Katiba

>Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameombwa kusaidia kuingizwa katika Rasimu ya Katiba Mpya, ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu wakiwepo wanahabari nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu

MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.

 

11 years ago

Mwananchi

Lipumba alilia haki za binadamu kwenye katiba mpya

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Katiba amesema Tanzania imejijengea desturi ya kutesa binadamu hata kwa haki zinazolindwa na sheria.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi  akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora  nchini,  leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya Katiba na Sheria na Tume ya Haki za Binadamu zina Wajibu wa kulinda haki za wananchi-Jaji Mstaafu Mwaimu



Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibari, Mhe.Khamis Juma Mwalim, akifafanua jambo kwa wajumbe na wageni wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (hawapo pichani) wakiongozwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) wakati wa kikao kifupi kilichofanyika ofisini kwake baada ya kutembelewa na ugeni huo loe Juni 4, 2020 Mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA HAKI ZA BINADAMU, UNESCO WATAKA JAMII KUTAMBUA WATU WENYE ALBINISM

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.UNSMkuu wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, Bi. Zulmira Rodrigues akizungumza kwa msisitizo juu ya jamii ya watanzania kuchukua hatua ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!

DSC_1095

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu   kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mariado na walimu iliyopo Usa River ,wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja waliposhiriki maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu barani Afrika katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu iliyofanyika Oktoba 21 na kudai haki za wenye ulemavu wa ngozi(Ualibino) kulindwa kama wananchi wengine
Mwanafunzi Kelvin wa shule ya Mariado akiimba wimbo Umoja wa Afrika(AU)ambao ni maalumu wakati wa shughuli za umoja huo zinapofanyika.
Kamishna wa Tume...

 

11 years ago

Mtanzania

Wajumbe wataka haki za wanaume Katiba mpya

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

Mwenyekiti wa Kamati namba tisa (9) ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe.

NA DEBORA SANJA, DODOMA

KAMATI namba tisa ya Bunge Maalumu la Katiba, imesema kuna haja ya kuongeza ibara mpya katika sura ya nne ya Rasimu ya Katiba itakayozungumzia haki za wanaume.

Mbali na hilo, wajumbe wa Bunge hilo walitaka Katiba ieleze Tanzania inaongozwa na itikadi gani kati ya ujamaa na ubepari.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kidawa Hamis Salehe,...

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka Katiba itambue haki ya kuhifadhi maiti

Tukio la kutupwa kwa viungo vya binadamu jijini Dar es Salaam limewagusa baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba ambao sasa wamependekeza Katiba mpya itambue haki ya kuhifadhi maiti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani